“Ilikuwa ni tarehe 10 mwezi 5 kama saa 6 kamili, Crazy GK ndani ya mchuma na drive zangu home natokea masaki kwa Rap master Jay, Auliya Allah mwanangu kufika nyumbani tu nikapokea simu, Jay ni nani we mwenzangu akasema ni TID” ….🎶
Saivi ukishafika miaka 30+, na uzto kama punda basi unatakiwa sana kubalance ulaji wako. Maradhi waliyougua wazee wakiwa na miaka zaidi ya 60 saiv yapo kwa miaka 30. Tujilinde😊
Ila mapenzi ni ujinga sana
Unaoneshwa kabisa dalili za kuachwa unampigia hapokei, unamtumia message hajibu,yupo online hakuongeleshi, halafu unamuuliza kama umeniacha si uniambie tu😂😂
nikikumbuka huu ujinga na mimi nilishawahi kufanya . 😂😂