USHAURI WA BURE: Kukosa hamu ya tendo la ngono kwa muda mrefu inaweza kuwa suala la kiafya au kisaikolojia.
Inashauriwa kuzungumza na daktari wako au mtaalamu wa afya ya akili ili kujadili hali yako na kupata msaada, Usikae nalo kimya.
Sababu zinaweza kutofautiana kwa kila mtu na inaweza kuhusisha mambo kama mfadhaiko, wasiwasi, matatizo ya kiafya, kama homoni imbalance, au mambo yako kibinafsi ya Kurithi.
Kwa hivyo, ni muhimu kupata ushauri wa kitaalam ili kutambua na kutibu chanzo cha tatizo lako.
JE...? Unapitia changamoto hii kwa wakati fulani, Au yawezakuwa upo kwenye mahusiano na hauna hisia kabisa ya tendo...?
๐
@goligani@Mkunwa1 Ktk biology alikuwa mwamba wa kuitwa Babangida, walikuwa mtu tatu, physics kwa Muddy, Maths kwa Aiden Agenda Property, kule ubungo kulikuwa na mwamba wa physcs nae alikuwa mkali sana Emmy!! Hivo vichwa achana navyo kk, invincible hao!!!
@goligani Tukishinda tunashinda wote na tukipoteza pia tunapoteza wote,big kk usikate tamaa tuko nyuma yako!! Angalizo pia kuna hii app mpya ya 888starz hebu jaribu kuipitia iko vzr sana n ina options nzuri sana!