@victoriacharlz@wizara_afyatz@ummymwalimu Wachunguze kwa umakini kuna watu hawawezi lipia hizo bima alafu unaweza ukalipia hiyo bima unaenda hospitali unaambiwa madawa hamna je hapo mgonjwa atasaidiwaje
Kipindi hicho nilitumwa nikasage unga wa lishe kwa ajili ya uji wa mtoto, njiani nikaanza kuchambua karanga na vipande vya samaki nikala vyote, kufika mashine umeme ukakatika kabla sijasaga na haukurudi tena.
Ushawahi kupigwa mpaka ukajiuliza kama hao ni wazazi wako kweli?