@Mkunga_Og Samahan Doctor naomba nitoke nje mada yako kdg ila ni maswala haya haya ya uzazi..me nikimpa mwanamke mimba mwili wangu unabadilika sana kuanzia mimba ikiwa changa had kujifungua..mwili Wang unachoka hovyo kulala hovyo na kujiskia vibaya..kwann hii hali hunikuta?
@Chuma1nyundo1@siadevinci Acha ujinga wewe nan kakuambia Waislam wanaamin kutetewa na jiwe?? Ulishawah kusikia au kulikuta wap zaid huo Msikit mkuu wa Macca? Kama ingekua ni sehem ya ibada huku kwingine kote Dunian ambapo halipo watu watatetewa na nan?
@Mwlzkapinga Uiombee Israel ipi hiyo? Hii inayozalisha mashoga wengi Dunian kwa sasa? Hii iliomkataa Yesu na kutaka kumuua? Yan mjumbe wa Mwenyezi mungu alitaka kuuliwa na walimkataa kabisa leo kazi yao ni kufanya uharibifu juu ya ardhi sisi tuiombee?
@Millambo_@Nyboma1952 Dunia ya leo Uislam uliptapakaa..mfan mwingine Ni Yesu huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi mungu huyu aliishi maisha yake yote katika Uislam sio ye tuu ni pamoja na mama yake Mariam na kizazi chao wote walikuwa wamejisalimisha kwa Mwenyezi mungu...ndo maana
@Millambo_@Nyboma1952 Na Mwenyezi mungu hakuwa kutuma mtume yoyote hapa Dunian isipokua alikua mtume au Nabii Muislam yan hakuna Nabii ambae hakuwa Muislam naomba nikupe ushahid kdg sana fatilia mitume unawajua wewe Nuhu Ibrahim Nk tafuta walipozalwa na walipofia na tafuta Dunia 1