@francismtey Mambo ya Mungu yote hayana sababu ndo mana tunasema mapenzi yake kwanza yatimizwe. Hakuna mtu atakupa sababu kwa nn Mungu hakumuua Afande sele na alimtukana hadharani. Usitumie akili kwny imani ama uachane na mambo ya imani kabisa,usitake Kumuelewa Mungu kwa Kutumia akili zako
@tayostz@EsirEid Ulitaka wauwe raia, target ya vita ni kuua viongoz ,wanajeshi na miundo mbinu ya kijeshi. Kw io kama Khamenei ameuliwa io ni sahihi kabisa kivita
@Chikobe2000@kibiti_maasa@ayubu_madenge Ww ndo mpumnavu ndo unaitwa kombo, North Korea ni masikin kama nchi yako ya tanzania, kua na nuclear hakuna uhusiano na utajiri ,kashabikie yanga na diamond huna unschojua