After much reflection, I have decided to resign from my position as Director of the National Counterterrorism Center, effective today.
I cannot in good conscience support the ongoing war in Iran. Iran posed no imminent threat to our nation, and it is clear that we started this war due to pressure from Israel and its powerful American lobby.
It has been an honor serving under @POTUS and @DNIGabbard and leading the professionals at NCTC.
May God bless America.
@brilliantj198@MsomiKhan18 director alipwe 5M, ebu fanya research yako vizuri...hawa watu wanakula mishahara minono balaa, kuna watu wanalipwa wabunge wakasome
@Mdudu1808@MsomiKhan18@DullahTheking2 kwani wanasemaga ukweli bas? mshahara wa mtu ni kama kende, lazima ufichwe balaa...
hata wewe usipende kuwaambia ambia watu masuala ya kipato chako
@MariaSTsehai hii picha ni AI kabisa, rescuers maeneo hayo wasingekua wamevaa hivo...tusubiri picha OG na sio hizi ambazo zinakufanya usionekane professional
@Feudal70@EsirEid awa wasenge hawana hawana aibu na ni wanafki, haiwezekani ukaita mazungumzo alaf katikati ya mazungumzo ukanivizia kunipiga kibao...
mashoga ndio tabia zao hizo, yanajua hayana namna nyingine ya kukupiga zaidi ya kukuvizia
@Ljcom2033@EsirEid Iraq sio Iran, hii ni 2026...alafu ujue Iran inajitegemea vya kutosha kwa upande wa silaha, waajemi wanatengeneza silaha zote in house..
na pia wana succession plans tayari, ndo mana unaona kila kitu kiko functional na wanajibu mashambulizi kimamilifu
@ashu_bangs@EsirEid ww unaona sahihi, ila wenzako wana succession plans tayari na ndo mana unaona kila kitu kiko functional na wanajibu mapigo kikamilifu
@EsirEid Kosa wanalofanya Marekani na mshirika wake Israel ni kufikiri kuua viongozi ni ku defeat Iran..
Jamaa alkua na miaka 86, one way or another hata yeye alkua anajua uzee ushafika na anakaribia kuondoka..
Lazima iran walikua washajiandaa kwa hii scenario
Iran mwaga moto qmmk 🔥