Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania huyu dada (mnisaidie jina lake) anapaswa kuachiwa mara moja au kufikishwa mahakamani ndani ya saa 24 tangu alipokamatwa kinyume na hapo ana haki ya kuwashtaki Polisi waliomkamata. Nani mwingine amekamatwa? Orodhesha majina na kituo waliposhikiliwa