πChelsea & π Yanga SC Fan | Passion for Football β½ | Match Updates & Banter | #BlueYellowArmy
Champions Never Rest β Chelsea & Yanga Forever!ππ
Kuna jamaa ameoa anaishi na mke wake kwenye nyumba ya kupanga.
Jamaa ni machinga na mke wake ni mama wa nyumbani.
Kila siku jamaa kabla hajaondoka kama kichwa cha familia lazima aache kodi ya meza.
Katika maisha yao anasema wanaishi maisha mazuri tu kwamba hakuna vurugu
‡οΈ
@mangekimambi Shida yenu wanaharakati wa Africa mnatakaga kila kitu raia wawape support Bila kujua siyo kila raia ni mpenzi wa siasa kila mtu anakitu anapenda, KO ilo lazima mjue siyo wote wanapenda siasa. Mwengine anakuwa na fraha akipata taarifa za mpira mwengine Kama Ivo kuona mrembo Jihan
@1ngadu1 Sasa wanarakati wanataka wote tuwe tunafatilia saiasa zao cha kutuzunguka raia wa kawaida wao wanakutana nje ya Maiki na kamera wanapiga bia afu ndo Sisi tuwe nao busy emu watuache na SS tufanye vitu moyo unapenda.
@CHUMA_PRO@manywele_ze Kwamba unahis hawana elimu awo au hawajui wanacho kifanya vichwa vyote vile?, na hata lisu wanajua kuwa yupo uko aliko ila walishajua kuwa hakuna kitu wapata KO Bora wafanye mambo ya kijinga SKU ziende wafe wazikwe
@PushatheTruth@manywele_ze Ulikuwa unapigania Tanzania au ulikuwa unajipigania wewe ili uwe na nafasi nzuri ya kujiingizia kipato mkuu?. Wana arakati wa Africa wote wahuni Tu hakuna mwema hata mmoja wote wapo kujinufaisha wala hawana lolote.
@manywele_ze Sisi wote ni waafrica mkuu hakuna asiyejua kuwa Sisi ni wasaliti, maana Africa kila mtu ni mhuni mzuri tu. KO kila mtu apambane tu Kwa kadri anavoona nafsi yake inakuwa fraha ndo akalie apo apo. Mambo ya kuhoji sjui mbona Kwa lisu hawajai ivi kwao haina maana yoyote.