@joblessforsure Sasa hapo wameshikwa pabaya wapi ?
Wala hakuna mambo ya siri wala nini , ni issue ya kuweka tu majina kwa system basi jambo ambalo bado kuna mwingi tu more than 8 days
@Bongotech255 Ugumu wa hii NIDA huwa hapo sehemu ya kupeleka hiyo form huko ofis za NIDA,..... Sioni kama wamesaidia kitu , kujaza fomu hyo mbona huwa ni simple tu ....mchawi ni hiyo kwenda kule NIDA kupanga folen nk...ingekuwa form una scan then unaituma uhamiaji wanahakik then unatuma RITA
Kama una biashara na unahitaji huduma ya Graphic Design nipo kwa ajili yako
#MyContacts
https://t.co/Jluicopn9E
Text/Call:+255 752 738054
https://t.co/Pkk702kDHp
*WeValueYourPriorities*