@JamiiForums ENOCK...natokea Sengerema..Mbunge wetu hafanyi ziara katika jimbo la sengerema kwani katika kijiji cha NYITUNDU Kata ya KAHUMLO kuna ujenzi wa shule ya SEKONDARI pamoja na ujenz wa ZAHANATI hii miradi imeanzishwa na wanakijiji wanahitaji nguvu ya serkal kumalizia .
@fatma_karume Huwez kuifanyia kaz serkal ya chama ambacho ww hukikubal sana sana utataka kuharbu tu ili serkal ionekane imeharbu ili chama chako kiwe na say""
@godbless_lema Lema huyu mjinga sna..nafkir ni kwa kias gan wapinzan mnavyozid kujipambanua kuwa hamuwez kuongoza wananchi kwa sababu tu wenyewe hamjui maana ya uongoz..huwez tukana mtu hvi afu mm nikakupgia kura nitakua napgia mjinga tuu
@HecheJohn@mwigulunchemba1 Aseee..yaan tozo ya toka tareh 1/7 kama ulienda kutoa hela zaid ya mara 20 mpaka kufkia tarehe 15/8 unakapesa kakubwa kukatwa๐ญ chakufanya kila tarehe ya kupokea toa hela kubwa za kutosha kutumia mwez mzima ili uepuke kukatwa katwa kila uendapo kutoa
@millardayo Hicho ndo huwa wanatafuta kiwatokees..hvi mtu hana ulinzi wowote jokaa mbaya anashnda mil7 mnamtangaza kwenye tv unazan vibaka wataacha kumfata wale wa mtaani kwake๐
@ChademaDiaspora Yaani chadema mshapoteza sifa za kuwa viongoz wa maamzi wa mwisho katika nchi hii hakuna Rais wa kutokea kwnye makesi na kushtakiwa kama chadema eti aje awe Rais bora hakuna ktu ataongoza bali ni kulipiza visas tu
@godbless_lema Endeleen kubweka mpaka sku mkijua kuwa serkal ni mamlaka ambayo inakauli zake za kuitaka ifanye jambo kwa maslahi mnafkir kupauka hewan na kugeuza maneno ndo mtafanikiwa mlivyokuwa wajinga na kukosa akil..nyie mnatufanya hata katiba hyo tusiipate kwa sababu ya ushenz wenu
#Chadema wameficha waliyoongea jana na kamati yao lakni siri zmevuja๐คฃ๐คฃ hivi nyie chadema mnaweza pandikiza mamruki wenu kwa ccm? Eti mnapanga na nyie kuchomeka wagombea wenu kwnye uchaguz wa ccm mpate mtu wa kuwapa mipango bado sna nyie kufkia huko hebu hangaiken na ishu zngne
Mi nmegundua chadema wanapenda kuita watu wa vyama vngne majina ya ovyo lakni wao hawapendi kuitwa majina ya ovyo wajinga sana hawa watu akili zenu za ajabu ajabu leo nyie imewauma kwnn?๐ #zittokabwe๐ช