PROUD TO BE MUSLIM ALLAH IS ONE |
LOVE IS THE CHEMICAL HEART IS THE FLAMMABLE |
FOLLOW YOUR HEART AND YOUR TALENT |
πΉπΏπ°π²
Subscribe my YouTube channel π
Mimi Sina Machozi Lakini Nina Maumivu Ndani Yangu π€
Sikutafuti Lakini Nakumis
Sizungumzi Na Wewe Lakini Nakufikiria Mnoo π
Sikwambii Lakini Tambua Nakupenda Mnooo β€οΈ
Nilipokuwa sekondari nilijisemea nikimaliza shule napiga mishe nanunua nyumba katikati ya mji naishi
Miaka mitatu baada ya hustling nikasema nitafute mtonyo ninunue kiwanja nje ya mji nijenge
Hali yangu ya sasa POPOTE KAMBI ilimradi pawe na Mahitaji muhimu tuβπΏ