Youth-led organization Empowering youth & women through training, innovation and policy advocacy for sustainable growth
[email protected] Iyumbu Road,Dodoma
Kutokomeza mafuta hatarishi ya trans fats (iTFA) inawezekana.
Viongozi na wadau wa Afrika Mashariki wanatakiwa kugeuza ahadi zao kuwa sheria za lazima, zikiasisiwa na mifumo thabiti ya ufuatiliaji na usimamizi sokoni.
@TBS_Tanzania@wizara_afyatz#EACFoodStandards
#TransFatFreeEAC
HAPPY WORKERS DAY 2025
We celebrate the hands that build, grow, and sustain our nation. Special salute to Young people in agriculture driving change for a better future.
#labourday#labourday2025
Siku ya Kimataifa ya Wanawake si siku tu ya kusherehekea mafanikio ya wanawake bali pia ni siku ya kutambua mchango wao mkubwa, wa kujitolea na nguvu isiyopimika mliyo nayo katika kila sekta ya maisha.
Happy international women's Day
Je unatambua kuwa wahusika wakuu kwenye Sekta ya kilimo ni wanawake, japo kuwa wanapitia changamoto mbalimbali, umiliki Wa Ardhi, mitaji,masoko lakini kwao kilimo ni maisha.
#sikuyawanawakeduniani
Siku ya Kimataifa ya Waokotaji wa
Je, unafahamu kuwa mamilioni ya watu ulimwenguni wanategemea ukusanyaji wa taka kama njia yao ya maisha? Wanaitwa Waokotaji wa Taka (Waste Pickers) mashujaa wa mazingira wanaochangia usafi, uchakataji, na uendelevu wa dunia yetu