@EBMSCHOLARS Umechambua vizuri sana, point ya msingi sana umesema โฆ ishi maisha yako usiishi maisha ya kuigiza au kutaka kum impress mtu fulani
Asante sana kaka
@ZamaMpya_ @HabibMchange Itoshe kusema kuwa mmechoka kufikiri, wapisheni watu wenye mawazo mapya. Same na Hedaru kumejaa upepo, singida na Dodoma jua linawaka almost mwaka mzima, deposits za uranium zimejaa singida na kusini, gesi ipo mtwara, vyote hivyo ni vyanzo vya umeme. Msituchoshe fanyeni kazi