@PeterPata28@omari_manyama Mpaka Sasa lissu Hana kosa ni mtuhumiwa mahakama haiwezi kuuliza mtuhumiwa hilo swali mtuhumiwa anachoomba ni kesi kusikilizwa Kwa haraka kama anamakosa ijulikane na kama Hana ijulikanee
OMG!! ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
@HecheJohn@John_Pambalu@Phbhimself hapa heche kanena vyemaa ingikuwa Maduro alishinda nyufa za uvamizi katika nyanja ya ushawishi na kuwawin waVenezuela nchi nzima ingekuwa upende wake Leo na kingewaka madhara ya kutawala Kwa mttu wa bndki ndio Kuna wap nyfa mtaifa kama marekani Kuja kupra mali zenu
@Phbhimself How about serikali kuiprovoc Roman Catholic.. ili kupata reaction na kutafta a weak sport ndani ya mifumo ya Roman (provoc them see how they react ).... Ule ni mchezoo na uko unachezwa na mtu mjinga aliye ndani ya serikali... {Context nzima ni kwamba we are coming for u)