Kutoweka kwa mwanaharakati Mtanzania, Twaha Mwaipaya, kumeendelea kupata uzito katika mjadala wa umma nchini Kenya baada ya gazeti la The Standard kumuweka miongoni mwa watu ambao hatima yao bado haijulikani.
Katika toleo lake la Jumatatu, Novemba 16, 2026, gazeti hilo limeamua kutumia ukurasa wake wa mbele kuibua swali kuhusu watu waliopotea katika mazingira yanayohusishwa na utekaji, likiwaweka pamoja katika mkusanyiko wa picha chini ya kichwa cha habari *“Where are they?”*
Mwaipaya ni miongoni mwa majina yanayovuta hisia za wengi katika orodha hiyo kutokana na mazingira ya kutoweka kwake. Mwanaharakati huyo aliripotiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana Oktoba 25, 2026, eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos, na tangu wakati huo familia na watu wanaomfahamu wameendelea kusubiri taarifa za mahali alipo.
Tukio hilo limevuka mipaka ya mjadala wa mitandao na kuingia katika hatua za kisheria. Mkuu wa Polisi wa Kenya, Douglas Kanja, alipozungumza mahakamani alikanusha kuwa Mwaipaya yuko chini ya ulinzi wa polisi, akisema jeshi hilo linaendelea na uchunguzi kuhusu suala hilo.
Hata hivyo, Mwaipaya si mtu pekee ambaye kutoweka kwake kumeendelea kuacha maswali nchini Kenya. The Standard imewakumbusha pia wananchi kuhusu Mwenda Mbijiwe, aliyekuwa kamanda wa Kitengo cha Kudhibiti Ulinzi wa Anga katika Jeshi la Anga la Kenya, ambaye hajulikani alipo tangu Juni 2021.
Kwa kutumia ukurasa wake wa mbele, gazeti hilo limeelekeza mjadala kwenye hatima ya watu wanaopotea na changamoto ya familia kupata taarifa za uhakika kuhusu ndugu zao. Pia limeibua swali kuhusu hatua zinazochukuliwa na mamlaka katika kuhakikisha matukio hayo yanachunguzwa na majibu yanapatikana.
Imagine how much you have done in 21 days! But Twaha Mwaipaya does not have the freedom to do anything! He was abducted 3 weeks ago
As a victim of persecution by the oppressive Samia Suluhu regime, he fled Tanzania to seek safety in Kenya
Transnational repression is a CRIME
#FreeTwahaMwaipaya
Imagine how much you have done in 21 days! But Twaha Mwaipaya does not have the freedom to do anything! He was abducted 3 weeks ago
As a victim of persecution by the oppressive Samia Suluhu regime, he fled Tanzania to seek safety in Kenya
Transnational repression is a CRIME
#FreeTwahaMwaipaya
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema hayo wakati akifundisha kuhusu sifa za Uongozi, yaliyochapishwa kwenye ukurasa wa ELCT-Karagwe Diocese, Mtandao wa YouTube Novemba 13, 2026.
Zaidi https://t.co/kJvaIYKAhc
#JamiiForums #Uwajibikaji #UtawalaBora
People who cross a border seeking safety should be able to live without fear of abduction.
Kenya, where is Twaha Mwaipaya?
We call on the @achpr_cadhp to seek urgent answers from Kenya and Tanzania and press both governments to immediately produce Twaha and secure his safe release.
#FreeTwahaMwaipaya #EndTransnationalRepression
HAVEN OF ABDUCTIONS🔴
Twaha Mwaipaya was abducted by Kenya and Tanzanian authorities who are currently holding him incommunicado. Today marks 19 days since Twaha was abducted in Machakos,Kenya.
Where is Twaha Mwaipaya?
#FreeTwahaMwaipaya#EndAbductionsEA#PASNet
#FreeTwahaMwaipaya
Twaha has been a victim of abductions and illegal detention several times! In April 2025 he was abducted and tortured by the police @tanpol after attending Tundu Lissu’s trial!
He fled to Kenya after credible information that SamiaSuluhu’s death squad had been instructed to “finish him”
He was abducted on Kenyan soil and it is the responsibility of authorities to ensure Twaha is returned safe and unharmed
#FreeTwahaMwaipaya
#FreeTwahaMwaipaya
Twaha has been a victim of abductions and illegal detention several times! In April 2025 he was abducted and tortured by the police @tanpol after attending Tundu Lissu’s trial!
He fled to Kenya after credible information that SamiaSuluhu’s death squad had been instructed to “finish him”
He was abducted on Kenyan soil and it is the responsibility of authorities to ensure Twaha is returned safe and unharmed
#FreeTwahaMwaipaya
Twaha Mwaipaya was abducted by armed men in Kamulu, Machakos, Kenya.
The abduction was a collaboration of Tanzania and Kenyan murderous regimes.
Explain to me like a school dropout how;
1. Armed men crossed the Kenya - Tanzania border with firearms,deep into a remote area in Machakos without the knowledge of Kenyan authorities and surveillance help?
2. If they crossed unarmed, explain to me how they accessed firearms and surveillance data without the consent of Kenyan authorities?
William Ruto's killer regime abducted Twaha Mwaipaya.
Where is Twaha Mwaipaya?
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet