Wabunge wakiendelea kuchangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Hotuba hiyo ilisomwa na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega jana tarehe 5 Mei, 2025 ambapo Waziri huyo ameomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi trilioni 2.280 kwa ajili ya
Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya (kulia) akimpongeza Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega mara baada ya kuwasilisha Bungeni Mpango na makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 leo tarehe 05 Mei, 2025 Mkoani Dodoma.
Baadhi ya viongozi kutoka Wizara ya Ujenzi pamoja na taasisi zake wakitambulishwa Bungeni jijini Dodoma leo, Mei 05,2025 wakati wa uwasilishaji wa hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026.