@SuluhuSamia Mama Bwana Yesu asifiwe, Pole kwa msiba wa Askofu bila shaka Askofu huyu ameshamaliza kazi yake ndio maana Bwana kamwiita, Mh katika kanisa la KKKT kibaigwa kuna ujenzi wa Jengo la kanisa tunaomba Mchango wako ,tunaanimi kuchanga kwako na Mseminary Dr nchimbi na PM nao watachanga