@Danieli__Wilson@swahilitimes Hujaelewa point mzee โฆkama sigara inavutwa na ni hatari kwa afya na tena imeandikwa ONYO na inaongoza kwny kuingiza pato la taifa why not bangi akat ina athari ndogo kiafya compared to sigara vile vile bado watu wanavuta sana majumbani na mzgo haujalipiwa kodi bora uwekewe tozo