@sophiaP16386800@nyuki_malkia Hata kama huna dhambi safari ni ileile tu, zaidi ya matumaini kwa waliobatizwa watafufuliwa Yesu atakaporudi, incase akirudi umauti haujakufika itabidi nawew uwe marehem ili ufufuliwe tena hiyo ndio maana ya kila nafsi itaonja mauti kwa kitabu cha biblia.