@cutysuzana Tatzo lenu hata kutengeneza hizi propaganda hamjui,hivi kweli kwa akili yako mtu anayesoma hilo Jibu ni la kutoka kwa Mnyika?Shughulisheni ubongo hata kidogo basi wazee
@maestrowafact Yaani wewe mpuuzi kwa akili yako ndogo ya nzi wa kijani unaamini hayo ni kweli?Kwanza kwa kuangalia tu,tuhuma zenyewe ameanzisha mchome na yeriko halafu ccm wakadakia na wanahabari wao uchwara,akili huna hata hisia huna?
@MK47TA Ka ajenda kenu ni kadogo sana,halafu hizi ajenda za nzi wa kijani sio mara ya kwanza,miaka ya 2012 mpaka 2013 mlizifanya sana hizi lakini mlishindwa,yaani CHADEMA Wala hawajielezi sana wanaeleweka