@billadamson_@Nnauye_Nape Ila kila kiongoz na mifumo yake ya uongoz sema kinachotusumbua ni mifumo ya uongoz alotuachia Magufuli ile kutuonesha kwamba tanzania tunaweza
@eastafricatv@SuluhuSamia Najarb kutafta alofanya Samia mi najua ni mengi lakn Magufuli alivyotuzoesha Watanzania itakuw ngum sana kuacha hayo mazoea yale ya kutaka kuona kiongoz akileta mambo makubwa ya kushika na kuona si maelezo, Mfn Mradi wa Samia wa kujenga uwanja wa Arusha
@seti180 @MwijakuBurton Kagame amekaa miaka mingapi,Je Putin..au Museveni. Hakuna cha miaka kumi tusimezeshwe ujinga hizi katiba wametunga wanasiasa ili waonje onje urais, rais hana mda wa kukaa madarakani
@seti180 @MwijakuBurton Tukifuata uhali wa mambo na katiba kama alivyoongea CDF Mabeyo juzi mama alikuw makamu wa rais wa Magufuli, Magufuli kafa makamu kashika usukan, makamu akimalza mda wao ya awamu yao sas ndo atagombea msimu wake ambao ni miaka 10. Tusipindishe historia tuache iende sawa
@TonyFaza@MwijakuBurton Asome katiba... Samia ni mawili aidha kikatiba amalze awamu ya Magufuli aende nyumbani au agombee upya awamu yake ambayo atakaa miaka 10
@MwijakuBurton Hii mambo ya kuhesabia marais miaka ndo maana hata wanakufa kabla miaka iyo kutimia, tuache kuhesab rais aongoze hadi atosheke ushawai kuona mtu wa Uganda au Rwanda anasema akitoka huyu mwaka flan ataingia flan..Mim napenda Samia aongoze hadi 2035, aongoze awamu yake nzima