Machozi si mwisho wa Safari, bali ni hatua ya Ukuaji, Changamoto hutujenga na kutuandaa kwa Mafanikio, usikate tamaa, endelea kuamini, kuwa na Matumaini, na kusonga mbele kwa Ujasiri, kumbuka, baada ya Machozi huja Tabasamu, na baada ya Usiku hufuata Alfajiri.
Kama Una Roho Nyepesi Ukifika Kipande Ambacho Wanaonyesha Majeraha Ya TUNDU LISSU Huwezi Kutoboa Au Utamwaga Machozi. Sidhani Kama Kuna Binadamu Kawahi Kapitia Mateso Kama Haya. Na Makovu Makubwa Kiasi Hiki Na Risasi Moja Mwilini Yupo SERO Mwaka Mzima Na Zaidi. Inaumiza Sana
اللهم العوض الجميل عن كل شيء تركناه ابتغاء مرضاتك
Ewe Mwenyezi Mungu, tupe fidia iliyo nzuri kwa kila jambo tuliloacha kwa ajili ya kutafuta radhi zako.
@mbonimpaye_n Tuna kila sababu ya kusema asante Mungu kwa msaada wako hata hapa nilipo ni kwa msaada wako hakika Mungu anatusaidia na kutusikia kila tunapoomba
"Subra haipimwi kwa urefu wa muda uliosubiria ukiwa na matumaini, bali hupimwa kwa urefu wa muda uliosubiria kuanzia pale unapoanza kukata tamaa." ~Togolani Mavura.