It’s heartbreaking that they’re still unwilling to have this conversation, still refusing to confront the truth and acknowledge that what they did was nothing short of inhuman🙌🙌🙌
Kuna clip ya DW kuhusu matukio ya Oct 29 baba anaelezea kijana wake alivyouawa akaacha binti mjamzito wa miezi miwili na sasa analea mjukuu! We will never forget.
Kwahiyo huyu ni Nchimbi?? Sisiemu hivi mnawaonaje Watanzania?? Msitutoe kwenye agenda, tunachotaka ni Mwaipaya aachiwe huru akiwa salama. Bata, Wahed.! #FreeTwahaMwaipaya
Wanajimu hatari wakaonya “jamani tusogeze mbele hata muda wa uchaguzi ila kwanza let’s reform”
Their call wasn’t heeded/ mate with deaf ears
Yakatokea ya kutokea ambayo kwa lugha ya kisheria yanaitwa incurable
Nia njema ya wanaoitwa wasusaji iliishia kwenye kuepusha. Let the ignorance solve the outcome.
Fool me once, Fuck you
Fool me twice, Fuck me