@fatma_karume Hawawez chadema ilifanikiwa kipindi kile cha lowasa tuu mzee WA people na maalim mzee WA sawasaw??? Allah awarehemu hapa saiv tuangalie wanaharati tu kuikemea aerikali ila mageuzi kwa njia ya Chama to Chama ni ngumu
Watu wengi wananidm kutokana na tweet zangu za hivi karibuni ila niwatoe hofu tu ambao hamnijui haya mambo saivi nimepunguza au kuacha ila tungekutana 2010 na kuendelea kuna watu msingetaka ukaribu, tulianza harakati zetu mpk kufika kuandika barua UN kudai Zanzibar yetu
Subhana Allah, nimetumiwa video kuna msanii sijui gani anaimba kwa kutumi suratil Balad, Astaghfiru Allah nineogopa kheee. Allah tulinde wala wako halafu wamevaa kama mashetani๐ญ๐ญ๐ญ
@mangekimambi Hivi jamani tuwe wakweli now mama Ana umri 60+ Kuna 5 mungu atujalie atakua above 70 still agombee saiv tu madam ameanza kuchoka nchi ngumu hii kikwete na ujanja wake alijichokea
@mangekimambi@bizy94 Dada mange ndio lengo lako hii umeianzia huku ila lengo ni kumpopoa mzanzibar, ila mama tunae mpk 2030 Inshallah wanawake tukiwrzeshw tunaweza ingetumia kinywa chako vizur kumshaur n kumsaidia mama nimemini adui wa mke ni mke wanaume mtu samehe .... naomb usinblock da mange
@mangekimambi Tanzania iko na mabolozi 45 dunia nzima 9 tu ndio wanatoka Zanzibar, unajua apa x tunafanya research. Sio Kama IG! Apa ni between 25-34 years old.
@mangekimambi Huu ni uongo naomb tuekee list ya diplomat hapo chini tupembue najua account yako ishaingiziwa pesa na chadema umeanza mbali ili tusikushtukie ila lengo ni kutekelexa maagixo ya bwana, why ulipotea? Ety tuprove wrong kua Twitter imeacha kufungwq kwa ajili yako CCM ni ileile bhana