@ackimmastara@MariaSTsehai@tanpol Exactly, but wapo watu walio na dhamn ya kuonyesh mwanga lkn ndiyo wameshikilia toch,viberit, switc na vyanzo vya mwanga katika haya na wanayafuraia hya kw manufaa yao binafsi
@mdudechadematz @SuluhuSamia Hii ni serious issue ndugu kuwa makini huyu mama kashakuwa hyr sana na mambo yake yanavuja sana lkn pamoja na kuvuja anafanya hvyo hvyo liwalo na liwe mm naumia sana roho yangu
@millardayo Nasikitika kuona kwamba jeshi letu limekosa weledi mbali na kwamba wapo weledi wachache amabo pia wamechoshwa na mate ndo maovu yanayotendwa ndan ya jeshi letu,that's y taarifa zinavuja sana
Taarifa za kutaka kukamatwa zilivuja na watu walishajua then imekuwa hvyo hvyo hahahah
@mshambuliaji Walijua watanunua game kama kama championship huku watanunuliwa wao na bado hawajakutanishwa na bahasha hao washafika roundabout watakako kutana kushika njia waliokuja nayo nbc