@DEUSDEDITHSOKA@tanpol@lifeofmshaba@HildaNewton21@John_Pambalu Acha aishi kulingana na maisha aliyoyachagua. Unapo jinasibu wewe ni mtetezi wa wengine basi uwe na moyo wa kupokea maumivu na kuyaishi. Ulimwengu haujawahi kuwa sehemu salama kwa watu wanaojiita wanaharakati wasubirie tu mbinguni.
@horsemanmonster Hii ilikuwa daladala za Mbezi, Kibaha, Mlandizi na zile za kuelekea Mbagala. Miaka ya 2010 to 2015 majira ya saa 10 jioni hadi 2 usiku katika stendi ya Ubungo Tanesco.
@Tanfootball@azamfc@SimbaSCTanzania@azamtvtz@tplboard@CAF_Online@TaifaStars_ Tushuhudia vijana wenye uwezo mkubwa katika hii ligi. Naomba kuishauri TFF kutafuta mdhamini ili ligi hii ya vijana ichezwe kama mfumo wa ligi kuu. Kitu ambacho kitawaongezea vijana wetu uwezo lakini pia mvuto kwa afya ya mpira wetu.
“Ewe Mwenyezi Mungu hakika Wewe umeiumba nafsi yangu nawe utaiua, ni kwako uhai wa nafsi yangu na ufaji wake, ukiipa uhai basi ihifadhi, na ukiifisha (ukiiua) basi isamehe. Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba afya njema
Quran 31:17 -Ewe mwanangu! Shika Sala, na amrisha mema, na kataza maovu, na subiri kwa yanayo kupata. Hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.
18 -Wala usiwabeuwe watu, wala usitembee katika nchi kwa maringo. Hakika Mwenyezi Mungu hampendi kila anaye jivuna na kujifakhirisha.