Mke wa @mdudenyagali akiwa amebeba mtoto wake mgongoni akilia kwa uchungu wakati polisi walipofika nyumbani kwao kufanya uchunguzi baada ya watu waliojitambulisha ni polisi kuvamia makazi yao usiku na kubomoa mlango kisha kumshambulia Mdude na kuondoka naye damu zikivuja nyingi.
Watanzania waliokwama kwenye vita nchini Congo (DRC) wakiomba msaada baada ya waasi wa kikundi cha M23 kinachoungwa mkono na Rwanda kuuteka mji wa DRC wa GomaβοΈ