DAR: Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Irene Charles Mbonde amesema "Mgonjwa Angel Wariaeli amefariki usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali yetu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.”
Ikumbukwe, Angel alijitokeza mitandaoni mwanzoni mwa Mwaka 2026 akiomba msaada akisema alipata majeraha Oktoba 29, 2025. Novemba, 2026 alipokelewa Muhimbili kwa matibabu kabla ya umauti kumfika.
Fuatilia zaidi https://t.co/N4VY0AGttp
#JamiiForums #JFMatukio
NOWADAYS, before switching on your radio, you must first top up either your MPESA,Tigopesa, Halopesa or any other account.
This is because the first thing you will hear is an instruction asking you to send money to a given number to win milions.
Tanzania is one big casino. Nothing is happening, apart from gambling.
A radio presenter has a rapport with his/her listeners. Their word is trusted.
When they tell a listener to bet as a sure means of solving their financial challenges, the recipient of the information is likely to heed the call.
However, very important information is hidden from him.
The reality that, his/her chances of winning are mathematically close to zero is never revealed. Our runaway appetite for free things makes us an easy prey for these crooks.
End of the afternoon rant.
Great afternoon my fellow Hoof-Eaters!!
Odong!
Kuna miaka kadhaa nyuma ilikua ukitazama video za miziki ya Jamaica zilizokua zikitoka lazima uone bendera yao iwe inapepea au mtu kaishika au hata kuchorwa ukutani..
Kuna watu hawajawahi hata kuumwa wakaenda hospital na kushuhudia huduma na miundo mbinu ilivyo mibovu!!
Kuna watu hawajawahi kutana na case wakalala mahabusu kwa kuonewa na kunyimwa dhamana na kuteswa juu!!
Kuna watu hawajawahi miliki biashara yoyote wakakutana na miyeyusho ya kodi!!
Watu hawa hawawezi kuona mapungufu ya hii gavoo……untill yawakute!!
Experience is the best teacher
SOME AFRICAN COUNTRIES AND THEIR NICK NAMES.
• South Africa – Rainbow Nation 🇿🇦
• Rwanda – Land of a Thousand Hills🇷🇼
• Madagascar – The Red Island 🇲🇬
• Lesotho – The Kingdom In the Sky 🇱🇸
• Egypt – The Gift of the Nile 🇪🇬
• Burkina Faso – Land of the Upright Men🇧🇫
• Ghana- The gateway to Africa/The Blackstar of Africa🇬🇭
• Nigeria- The Giant of Africa 🇳🇬
• Namibia- Land of the Brave 🇳🇦
• Uganda- The Pearl of Africa 🇺🇬
• Malawi- The Warm heart of Africa 🇲🇼
• Zambia- The real Africa 🇿🇲
• Kenya - the pride of Africa 🇰🇪
• Tanzania - Brain of Africa (Bongo) 🇹🇿
• Gambia- the smiling coast of Africa 🇬🇲
• Ethiopia- the land of origin 🇪🇹
• Burkina faso - the land of upright men🇧🇫
• Morroco -the land of colours 🇲🇦
• Mauritius- the continental island 🇲🇺
• Comoros- the perfum island 🇰🇲
• Sierra leone - salone 🇸🇱
• Chad- the dead heart of Africa 🇹🇩
• Mali- the eyes of africa🇲🇱
• Djibouti - the pearl of the gulf of tadjiboura 🇩🇯
• Cabo verde - llha do 🇨🇻
• Sao tome and Principe- the chocolate island 🇸🇹
• Cameroun- the hinge of Africa 🇨🇲
• Seychelles - the land of perpetual summer 🇸🇨
• Gabon - Le bled 🇬🇦
• Somali - the horn of Africa 🇸🇴
• Botswana - Peaceful nation 🇧🇼
Bado nasoma jumbe zenu za goodwill wakati mnanipambania nikiwa matatizoni.
Kwa kweli ni nyingi.
Mimi ni mtu mzima na jasiri, lakini baadhi ya jumbe zenu zinanitoa machozi
Ni kama nasoma wasifu wangu kwenye msiba wangu mwenyewe.
Asanteni sana
Siwezi kuwashukuru mmojammoja
@BillyTronix1 Ile mifuko ya hifadhi ya jamii imekuwa scam moja kubwa sana, yaani kuna mda ni kama hawana msaada kabisa. Nina experience na @psssftz ambayo siielewi kabisa.......