@kefajwales Sikiliza mkuu. Nilimpa account February kama sijakosea akawa na access ya kufanya kila kitu yeye mwenyewe na nafikiri alifanya. Ila hakubadili email. Leo asubuhi kaniomba verification codes nikampa bila shida yotote. Akashindwa kuzitumia ndipo akataka nimpe email yangu.
Wakuu hii account nilimpa dada yenu free of charge. Asubuhi ya leo nimekutana na message zake inbox kwangu nimpe Email niliyoifungulia hii account. Nikamwambia siwezi kukipa Email yangu kwa sababu inakazi zangu za muhimu. Unachotakiwa kufanya nipe password za hiyo account
@SafariMlevi Angalau nimepata watu wanaoelewa kwa nini nilikuwa nakataa kumpa email yangu. Code zake zilikuwa zikija nampa bila shida yoyote ila naona kaamua kujizima data
BACK BENCHA tunawakumbusha kuwa hao unaowaita makuli,wabeba zege,walinzi wa getini,mama ntilie na Baba ntilie.
Sisi hao ndo WAZAZI wetu na tumesomeshwa na HELA zao za KUBANGAIZA.
Morning Africa.