@cw_pedro Je walioteuliwa kabla ya 2015 hawakuwa makada wa ccm na kuwatangaza wapinzani kushinda uchaguzi popote nchini? Km wapo kuna tofauti gani na baada ya 2015 km sio namba badala ya mada/hoja tu?
@halimamdee Huyo ni mmoja wa majaji wasiosikiliza maagizo kutoka juu? Tuweke records ili siku nyingine akitoa maamuzi ambayo hayatawafurahisha turekodi mtakachosema.
@MKURD189@zittokabwe@MariaSTsehai Chochote utatajisikia kutapika kwa sab kimetoka ccm ambao ni wapinzani kwako na wao kila mkakati wako watajisikia kutapika.
@dannytiggy005@MsigwaPeter Haruhusiwi kufanya kikao bila taarifa kwa polisi kwa mujibu wa the police and auxiliary services act no 43 na penal code act no 74&75. Lkn mahakama itaamua sio RPC,hivyo polisi inafanya kazi yake kutuhumu.
@Jchris66283712 @JobNdugai1 Kwa mujibu wa sheria ya 2008 ya bunge 46(1)ya mahesabu ya umma kamati ya bunge inatakiwa kutafuta external auditor atakayemkagua CAG mara1kwa mwk,kamati kwa kufuata sheria hiyo imeipata EK Mangesho ambayo imeshamkagua CAG. Hakuna sheria so far ya kumkagua Mangesho.
@AnethStanley@bunge_tz Sijasikia km alikaguliwa,lkn hakuna kosa kuanza leo kumkagua km sheria/kanuni za bunge zinaruhusu,unless km ukaguzi unafanyika kwa shinikizo la spika tu.
@2015sdlomo Tofautisha kukosoa na kutukana. Kaanze kumwambia baba yako Malaya ana gono kisha urudi hapa useme umemkosoa na ametabasamu kwa furaha ya kukosolewa.