@m_flavianho@HildaNewton21 Kabisa mkuu yaani ujifiche uhamishoni Kenya then unaona hali haijakaa sawa. Baadae kiongozi anakwambia rudi mambo yatakaa sawa then unarudi bila kuhoji.? Kuna kitu hakipo sawa kati ya wanaharakati na Lema .
@ZakayoPius@joeselasini Kaka ukizungumzia shule utakosea kwa nia ya kuiwajibisha utawaonea, hao wamejirekodi wenyewe na vile wamekuwa exposed na Dunia ya mitandao Tiktok n.k hayo ndio madhara yake. TABIA HAZIJENGWI NA MAVAZI NI KWELI KABISA.
@Labella_Mafia95 Pesa ya dhamana inafanya nini?
Ni kama "amana" ya uhakika kwamba mtuhumiwa atarudi mahakamani siku ya kesi. Haikusudiwi kuwa adhabu wala ada ya serikali. Mtuhumiwa akihudhuria kesi zote basi pesa utarudishiwa. Ila video na masharti vinatakiwa.
@ErickKamihanda Kaka ubaya wa pombe ni namna sheria yake ilivyowekwa tayari onyo umewekewa, hivyo wewe mwenyewe ujiingize kwenye matatizo ndio maana serikali ni kama haiwezi kuingilia sana, japo naamini hakuna pombe inayotengenezwa bila uthibitisho wa TBS viwanda vyote hivyo vinabaraka yake.
@MkulimaKante Wengi maana yake kuna focus hasa ya kufikiria uchumi,michongo,fursa,kazi,hamasa ile inapungua ni kama mteja wa madawa focus ni kupata demu ukipata unaendelea kutafuta tena zaidi na zaidi. Lakini kiroho ni jambo la kiimani zaidi dhambi ya uzinifu imetolewa hukumu yake tayari .
@MkulimaKante Kaka hii kitu ni imani, kama unaamini kuna mikosi basi utaipata na kama kinyume chake huamini haitokei. Lakini swala la kutembea na wanawake wengi linaonekana kama mikosi limegawanyika katika pande mbili lipo kiroho(ndani) na kiuchumi (nje). Kiuchumi unapojihusisha na wanawake