@brazakashande@eastafricatv@MejaKunta_ Maisha hayahitaji kutumia hisia, yanataka uhalisia na Uhalisia ni kuruhusi nature plus simple logic decisions. Case closed
@k_mjege Ukiweka kila kitu/mambo muhimu ili mwanafunzi asome, kinachobakia ni brain operation according to nature. Information zitakazoweza kuipiku information za elimu ndizo zitapewa kipaumbele. Huwezi kulazimisha ubongo wake ufikirie nini.
@INFLUENCERjr Ubongo huwa unataka nafasi ya kufiria jambo jipya, text huwa zinatoa nafasi hiyo. Phone call zinafanya ubongo unatengeneza complex pattern kujua sababu za simu kupigwa, ku'solve tatizo hakuna kupokea. Hii imesababisha mshua ajue kuandika meseji😂
Hip hop ya bongo ni kama Pyramid, kwenye base wapo wengi sana na apex wapo wachache like @dizastavina. Same, hata wafuasi wanaosikiliza hip hop from apex zone ni wachache sana kwa sababu wanafuata shule.
@PanAuthentik