@Liberatus80@RehemaNM2 Mbona mlisema uongozi wa FAM ni weak ndio maana watu wanatekwa na tukichagua Lissu atakomesha utekaji?
Msigwa kakuharibu sana we kijana
@frediejustine@ExMayorUbungo Kama tutakuwa tunamtegemea Freeman kutatua migogoro ya ndani eti tu kwasababu watu waliomsapot wapo kwenye huo mgogoro basi tutakuwa tuna viongozi dhaifu sana na kwa ligha nyepesi basi FAM alipaswa kuendelea kuongoza chama