Nikikao Cha Halmashauri ya Kijiji Cha Bukandwe wilaya MBOGWE mkoa wa Geita ambayo moja ya agenda moja agenda nikutokuona umuhimu wa wawekezaji KWANI Kijiji hakinufaiki na uwepo wao hapa kijijjini tatizo makusanyo yote yanaenda wilayani @waziri wa Tamisemi #Chukua hatua
Hili Ni moja ya boma Kati ya maboma mawili ambayo yanahitaji kuka
Milishwa katika kata ya Bukandwe wilaya ya MBOGWE mkoa wa Geita ikiwa nipamoja na jengo la kituo Cha afya ambacho hadisasa Ni takribani miaka kumi likiwa limepauliwa tunaiomba serikali kuu iyakamilishe @ummymwalim
Mto Nyikonga mpakani mwa Lulembela (Mbogwe) na Katoro (Chato) wafurika maji. Abiria,kuvushwa kwa kubebwa migongoni na Vijana Jasili kwa Tsh 2000/na Gari kusukumwa kwa Tsh.10 000/-nk @ClubMagufuli @WizaraUUM Tunaomba Daraja https://t.co/XXVC5vuUYk Risiki
Picha ya kazi,Ikionyesha jinsi ambavyo Mkuu wa Wilaya Mbogwe anavyoshirikiana na wananchi ktk shughuli za maendeleo ya Ujenzi wa Sekondari ktk kata mpya ya Bunigonzi @ClubMagufuli @TAMISEMI2015
MBODANET, Leo tar 19/1/2019 tumekua na kikao. Waraghabishi wote tunao tekeleza mradi wa digital Mbogwe Geita. Kuangalia changamoto na mafanikio na kuona nini kifanyike ktk kuboresha na tumeweka mikakati kuhakikisha kazi inaendelea vizuri. #ChukuaHatua@oxfamTz@billmarwa
"Umemaliza shule juzi unatuambia wewe ni mwanaharakati unataka kubadili dunia ooh No, hembu kwanza badili maisha yako, kuwa na kwako, endesha mahusiano, fanya kazi au jiajiri, alafu baada ya miaka 10 njoo tuambie naijua dunia halisi nimefanya hiki matokeo ni haya"~ peterson
Ni wajibu wangu kujuwa haki ya mtoto na pia naelewa umuhimu wa elimu kwani najuwa hata mzaz ukiwa na majumba 10 na magar 3 ukifa ukamuachia mtoto bila elimu hayamsaidii kitu kwani ulidhi wa mtoto ni elimu @mohamed_mkulima@msoapomtwara @Kajuli_JSK
Mama huyu ni mkulima wa zao la pamba ktk kjiji cha nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe pamba yake inashambuliwa na dudu sababu ya kukoswa Dawa ya kuulia wadudu wa pamba anaiomba Bodi ya pamba wasambaze dawa @oxfam@ckizeba#chukuaHatua
Hii ni barabara itokayo kijijini mngiji kata MADIMBA WILAYA MTWARA kuelekea kitongoji cha hyuvi halmashauli imetuhaidi kutulimia baada ya wananchi kuchimbua visiki kazi yavisiki tumeikamilisha tangia mwezi 8 tuiomba HL iharakishekabla ya mvua @billmarwa@mohamed_mkulima@msoapo