Tuma mzigo wako popote Dar es Salaam kwa App mpya ya @PakiaApp.
Ni SALAMA.🚥
HARAKA na 🏍🕒
NAFUU. 🏷💰
Pakua SASA kwenye Android na iOS.
#DeliveryImenoga💯👌
DOWNLOAD SASA:
Android: https://t.co/AcIgsHIAVN
iOS: https://t.co/oman4Ml2Zn
We ❤#PakiaBoda
Jamani ninashindwa kuelewa janga hiliambalo linasumbua hata watoto kushindwa kuendelea na masomo kwa Nini vilabu vya pombe baa zinaendelea kulikoni?@ChukuaHatua@TZMsemajiMkuu @umwalimu
“Tunataka tuoneshe uthamani wa mwanamke kuwa anaweza. Tukimweka katika mazingira mazuri akasoma vizuri basi atarudi ataionesha jamii yake kwamba mtoto wa kike anaweza’’. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Kisena Mabuba. #ArudiShule#ElimuBilaUbaguzi
Picha ya kazi,Ikionyesha jinsi ambavyo Mkuu wa Wilaya Mbogwe anavyoshirikiana na wananchi ktk shughuli za maendeleo ya Ujenzi wa Sekondari ktk kata mpya ya Bunigonzi @ClubMagufuli @TAMISEMI2015
DC.Mbogwe akiwashukuru wananchi wa Bunigonzi kwa ushiriki wao ktk shughuli za maendeleo kwa ajili ya ujenzi wa Sekondari #ChukuaHatua Mh @JoyceNdalichako @TAMISEMI2015
Wengine tunashangilia mafanikio ya kijana mdogo mwenye miaka 30, hakupiga shule, katumia kipaji chake kutengeneza ajira kwa vijana wenzake.
If you hate this wewe ni mchawi tuu.
Mrejesho wa kazi za Uraghbidhi ngazi ya Wilaya -Mbogwe kwa wadau wa maendeleo na Viongozi wetu wa Wilaya:Katikati kushoto Mh.DC,kuliaMh.Kaimu M/kiti H/W na kulia kwao Mkurugenzu Mtendaji (W).Kushoto kwao M/kiti mtandao waraghbishi (W)#ChukuaHatua.Tunadhirikiana
Mwakilishi kutoka TAMISEMI anasema Serikali haina tatizo na Azaki ila ugomvi wetu ni kwamba mkiona jambo baya mnakimbilia kwenye media ila mkiona jema hamsemi ndio ugomvi wetu. Sisi kwenye PETS tunasema ukiona jambo jema kimbilia kwenye media wengine wajifunze #WikiYaAzaki2019
Toka jana naona kila mtu kutoka Serikalini anasema tuhame kutoka kwenye uchechemuzi twende kwenye kugawa vitu sasa mimi niulize swali suala la uelimishaji wa jamii suala la ufuatiliaji nani atalifanya kama sote tutahamia kwenye kutoa vitu anahoji mdau katika #WikiYaAzaki2019
Tumekuwa ni watu wakufuatilia mara kwa mara katika vijiji ambavyo miradi yetu tunaitekeleza,tuweze kujua mafanikio na changamoto wanazozipata ili tuweze kuzitatua pamoja ,hii imeweza kutuletea matokeo chanya katika miradi yetu kwa ujumla.
#TokomezaUmasikiniMtwara@OxfamTz
"Companies and the government must enhance transparency and accountability on the extractive sector revenue management." - @Hakirasilimali's Coordinator Racheal Chagonja makes her opening remarks during the #JukwaalaUziduaji2019
Mraghbishi ni mtu yeyote ambaye anaguswa na changamoto zinazoikabili jamii yake na anaamua kushirikisha wengine ili kuleta suluhisho - Mraghbishi, Mbogwe. #WikiYaAzaki2019#CSOWeek2019#ChangeNiSisi