@babaiftah@Rahim_Meghji Arusha kuna mahali wanaita forodhani wameleta taste ya vyakula vya pwani pale ukinnua sambusa ni sambusa kweli nyama kama zote chapati za arusha ndo balaa
Dar kutokana na wing wa watu watu wanapika tu ilimradi kwa vile watu watanunua natamani kuwa na biashara ya chakula dar & dom
@babaiftah@Rahim_Meghji Braza ni kwel hata mi nmetembea tz yote hii hamna watu wanapika kama chuga
Kule watu wako serious nadhani sababu ya utalii na mikutano inayopelekwa kule wanapika chakula hadi cha kiitaliano chuga kipo, chuga nlikula biriani tamu kulko dar nyamachoma yao ndo usiseme
@EngMapundajr Hamna mji wowote Tanzania nje ya Daresalaam unaoeweza kuikaribia Arusha kwa miaka ya hivi karibuni sensa ya 2022 ya ripoti za TRA zinatuthibitishia hivyo hizo zingine ni story za vijiweni tu ๐
Arusha uchumi uko juu sana now, huwezi kuona kwa vile kodi yote inaenda serikali kuu
@DrCyrilo@EngMapundajr@Kaumuza Ikikaa vibaya mara ngap mkuu mwanza inapitwa na arusha kwa kila kitu kuanzia kodi + magorofa hawa watu wanaongea hisia tu na kwa vile arusha imetelekezwa na serikali kwa miradi mingi kama stendi na masoko lakini kwa ground inapitwa na dar tu
@kimjisena@gabyconscious Hata mgeni akitoka nje atachagua arusha au zanzibar sio dar huku dar tumejazana tu ili tupate ridhk lakin sio sehemu ya kuishi mkuu ukweli mchungu bora hata njombe ๐
@SimaRolex@Adventure_36 Uhakika!
Ujue hapo unachanganya ruti 2 zenye abiria wengi moshi- dar, arusha- dar.
Abood na shabiby wameingia na bado wanapiga kazi
Kidia, bm, esther, tilisho, kilimanjaro, kidia, dar express wote hawa wana gari za kutosha na bado wanajaza
Bado hujataja kina lim, hai, marangu etc