#UPDATE press conference #somalia president @HassanSMohamud “Ethiopia tried to block me from accessing the venue for the AU meeting.they were also tried to block with another head of state, #Djibouti President Ismail Omar Guelleh”.
@Hakingowi Matumizi ya nishati safi katika ngazi ya kaya ni muhimu sana hasa katika kipindi hiki cha ongezeko la joto dunia. jitihada zimekuwa zikifanyika kupunguza ongezeko la gesi ukaa.Changamoto ni upatikanaji katika ngazi ya chini mwa bei ambayo mwananchi wa kawaida anaweza imudu
1/2.“Every funding mechanism in the world —from the @WorldBank to the @UN— is very bad at delivering for the poorest and most vulnerable. Only 10% has reached the most vulnerable from the @adaptationfund, the rest has disappeared somewhere along the way.” @SaleemulHuq of @ICCCAD.
@Tigo_TZZ @HildaNewton21 Boresheni kwa kushusha gharama za mabando, huduma bora ni ile ambayo inamletea unafuu mtumiaji , huwezi kujitanabaisha kuwa tuna bando mpaka la 500, wakati ni sawa na mb 240, sio sawa
Jukwaa la Maendeleo Endelevu linaratibu Asasi za Kirai kufanya tathmini ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu Tanzania kwa mwaka 2023 ili kutambua hatua tulizopiga tangu 2019 na mchango wa Asasi za Kiraia kwenye utekelezaji huo.