@cheupemaster@muge27_@MickyJnr__ Haha,lakini msimu huu kwenye game 3 umecheza na simba, umedraw mbili na kufungwa moja...yani simba kachukua point 5 kwako wewe umechukua 2
@Samalentips Nahisi yuko sahihi, huyu ni CEO na OWNER wa HK Group...levo ya kutembea na cv na kaki envelopes ameshapita, amekua kwenye System for 15 yrs .
@angelocane69@JamesJ2020@AggreyG@nulphin yes,kwanini isiwezekane? IGP ndo the highest ranking position upande wa Police...kwanza kwa namna ma DG wa taasisi nyingine wanavyolipwa, hiyo 16M naona ni ndogo kwa IGP..Mbunge tuu ni position ya kawaida ila analipwa over 11M+
@JamesJ2020@angelocane69@AggreyG@nulphin Kama Mbunge analipwa mshahara wa 11M+ kwann isiwezekane IGP kulipwa zaidi ya 16M, hivi nyie mnakichukuliaje hicho cheo aisee? Ma DG kibao tuu wa taasisi za kawaida wanalipwa mishahara ya dizaini hiyo
@JamesJ2020@AggreyG@nulphin Ukiwa na mshahara wa Over 16M na kiinua mgongo ya over 250M unaweza kopa 1B......so mshahara wa IGP kua zaidi ya 16M sio jambo la kushangaza
@BenSikare@lifeofmshaba Ana maana ukipanda commercial flights lazima upite kwenye terminal zao, Emirates lazima upite dubai, Qutar lazima upite Doha..hizo connections zinatumia masaa mengi zaidi compared na ukienda direct