Tunataka maji bila malipo wananchi wanateseka saana kwenye suala zima la maji
Maisha yetu hayana kipato cha kutosha kukidhi mahitaji ya kila siku lakini anahitaji
Maji anywe
Maji aoge
Maji afulie nguo zake
Maji aweke chooni
Mara ghafla inakuja bili ya maji inatisha kwa
Jamii na mashabiki wa muziki wetu wanaamini sana kuwa
wasanii wa HipHop/Rap ni wahuni sana/ wana tabia za kihuni ukilinganisha na wasanii wa kuimba!!
Kitu ambacho sio kweli hata kidogo!!
Na sijui ni nani aliwakaririsha hii kitu!!
Ukweli ni kuwa tabia nyingi za kihuni wanazo wasanii wa kuimba.
Wasanii wa HipHop wengi ni wastaarabu mno!! Fanya utafiti!!
Wasanii wengi wa kuimba ndio wanavuta Bangi…..Wengi sana!!
Wasanii wengi wa kuimba ndio Malaya, Wanabadilisha wanawake kila siku, na wanazungukana kwenye circle hiyo hiyo, miaka na miaka!!
Wasanii wengi wa HipHop wako kwenye Ndoa zao na wake zao.
Wasanii wengi wa kuimba wanakunywa pombe, Tofauti na wasanii wa HipHop
Mtu Kama Nay, Niki Wa Pili, Kala, I gues na G.Nako hawali tungi kabisa!!
Wasanii wa kuimba wengi nyimbo zao ndio zimejaa matusi….
Finyia ndani, Naichomeka kwenye mtaro, ipekeche ikalie kwa juu,ikatikie, naskia utamu, tako tatu etc.
Wasanii wengi wa HipHop ndio wamewahi na wako kwenye nafasi za uongozi!!
Jamii yetu ilikaririshwa vibaya sana na mpaka leo kuna kundi halijawahi change mentality, inaamini wasanii wa HipHop ni wahuni!!
Inaamini sana
TANZANIA INAPASWA KUWA MAKINI SANA NA WANAHARAKATI WA KENYA
Tanzania inapaswa kuwa makini na wakali sana na kinachotaka kuzoeleka na kufanywa na wanasiasa na wanaharakati wa Kenya kwa kigezo cha eti wako kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaojiita wanaharakati na wanasheria wa Kenya kuingilia mambo ya Tanzania na kujiingiza kwenye masuaka ya Tanzania kwa kigezo cha kuwa kwenye EAC.
Aina ya vurugu na uholela wakiozoea kuufanya Kenya haupaswi kuletwa Tanzania na huu ni mkakati unaofanywa na wanaharakati wakifikiri kuna siku wanaweza kuambukiza ujinga waliozoea kuufanya Kenya na kwenye siasa zao utafanyika Tanzania. Lengo lao ni kuona Tanzania inaingia kwenye machafuko na vurugu kama za nchini kwao ambao kila kitu wao wanaoinga tu na kufanya siasa!..
Haiingii akilini eti mtu kama Martha Karua anaacha shughuli zake anakuja kufuatilia kesi ya mhaini Lissu! Na alipozuiliwa kuingia nchini na kurudishwa kwao kapokelewa na mashirika yasiyo ya kiraia kwa shangwe na vigelegele! Hii ni dalili ya wazi kuwa kuna jambo linafanywa na kupangwa kutoka kwa wanaharakati wa Kenya ili kujiingiza kwenye siasa za Tanzania.
Jaji Mutunga na wenzake naye eti anakuja kutazama sijui ndiyo ku observe kesi ya Lissu!.. Yaani toka lini wakenya wamekuwa wanaipenda Tanzania kiasi hicho mpaka sasa wanawashwa sana na mambo ya Tanzania na kujiona kuwa ni sehemu ya mambo yao! Mbona watu hawa hawakuja kwenye kesi ya ugaidi ya Mbowe? Mbona hawakuja kwenye kesi ya Dokta Slaa? Mbona hawajawahi kuja kwenye kesi kedekede hapo nyuma?
Tanzania ni nchi huru na kuwa kwenye jumuiya ya Afrika Mashariki haina maana kuwa inaweza kuruhusu matakataka ya siasa za Kenya yakaingizwa Tanzania na haiwezi kukubali wakenya hasa hawa toxic activists walete mambo yao ya Kenya nchini!
Kama ambavyo Tanzania iko mbali na mambo yao na wao wanapaswa kupambana na mambo yao na wasijitie kiherehere kuingilia mambo ya Tanzania na kudhani jumuiya ya EAC ililetwa kwa ajili ya kuruhusu huu ujinga wanaodhani wanaweza kuufanya!.
Yaani kama wamezoea kufanya vurugu na kutoheshimu sheria na taratibu huko Kenya basi siyo kwa Tanzania!.wakae kwao wafanye hizo harakati huko za kupinga finance bill kila siku lakini wasidhani wanaweza kuruhusiwa kufanya ujinga huo Tanzania kwa kigezo cha eti wako jumuiya ya EAC!
Vyombo vya dola! Mtandao unaofanya haya ni mkubwa sana na kuna nguvu nyuma yake inayochochea mambo haya kufanyika ikiwemo fedha za wafadhili wanaotaka kuona Tanzania inaongia kwenye matatizo makubwa sana hasa mwaka huu wa uchaguzi! Wamezoea vurugu huko kwao na sasa wanataka kuzileta Tanzania wakidhani itawezekana!
Wamejaribu kila njia ndani ya Tanzania wameshindwa sasa wanataka kutumia hawa toxic activists toka Kenya kuchoma moto hii nchi! Hatutakaa tukubali na kuruhusu huu upuuzi na kwa vyovyote vile hatutaruhusu aina ya siasa za Kenya na vurugu zao ziambukizwe ndani ya nchi hii.
Warudishwe kwao hao wanaojiita sijui observers maana wana mengi ya ku observe huko kwao kuliko kiherehere cha kuingilia mambo ya Tanzania!
Zaidi ya yote watu wanaohusiana nao ndani ya Tanzania ni wa kushughulikia ikiwamo vi NGO uchwara ambavyo hawa watu wanahudumu kwenye bodi zao! Futilia mbali huko maana ni watu washenzi hawa na wako nyuma ya huu upuuzi unaoendelea!..
#KigogoMediaUpdates
Dar es Salaam is one of the fastest growing cities in the world. Find out why the city's Bus Rapid Transit #BRT system is critical to unlocking the city's economic potential & opportunities: https://t.co/5Jk5NvQzcA
Huyu mtu ni mwendawazimu kabisa... Haya aendelee ili kazi ya kikufuta chama hiki iwe nyepesi..
Manajiona mko juu ya sheria,sasa endeleeni muone kitu mtafanywa. Yaani mtafutwa na hakuna kitu mtafanya.
haya ndiyo madhara ya kuchagua mijitu ilikuwa misukuma mikokoteni huko sokoni imeingiua kwenye siasa haitaki kufuata utaratibu inapayukapayuka tu
Yaani msajili awafute halafu wewe useme anaendelea. haya tumekaa pale tunangoja tuone...
Morogoro to mikumi km zaidi ya 130
Mikumi to ifakara km 110
Ifakara to Mlimba km 150
Mlimba to masagati km 100+
Karibu km 500 kutoka office za mkoa hadi kufika Tanganyika Masagati hadi uchindile mwisho wa mkoa
Nakuunga mkono kwa 100%
@barackmtulo@habibu_anga@rollymsouth Waweza sema hivyo Kwa sababu tuna utulivu nchini, kuwa na eneo kubwa ambalo unatawala ww pekee ni tabu na chanzo cha vita. Mf mkoa wa Moro ofisi ya mkoa ipo Moro mjini na Kuna watu wanahitaji ufumbuzi/huduma wapo Uchindile takribani km 250+ je unafanyaje bila chain of command
Chadema ni kikundi cha kigaidi na utekaji kazi yake ni kumwaga damu tu.
Huko Ikungi Singida ameuliwa mwanachama wao ambaye alikuwa haungi mkono kampeni ya No election No Reforms ndani ya kikao rasmi cha Chadema.
Ni wakati sasa Chadema ituambie Mdude na Soka wako wapi?
Maana bila hii video huyu wangemzika kimya kimya na kuleta zile hadithi za bringback somebody.
UJUMBE WA FATHER CHARLES KITIMA KWA WATANZANIA BAADA YA KUSHAMBULIWA NA WASIOJULIKANA
"Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki.. Tunapozungumzia mambo ya msingi kitaifa yanayotakiwa kurekebishwa ili uchaguzi ufanyike kwa haki tusiogope kulipa gharama"
Hii tabia ya kudharau wateja wenu sio nzuri na ikumbukwe itafika mahali mtaburuzwa mahakamani kwa kosa la kuwazurumu wateja wenu @airtel_tanzania haiwezekani mteja analipia simu zenu halafu mnamfungia kwa makusudi na mkipogiwa simu hampokei kwa wakati
You’re Invited to the Launch of the 23rd Tanzania Human Rights Report (2024)-Join Us Online
Legal and Human Rights Centre (LHRC) cordially invites media houses, bloggers, human rights defenders, civil society actors, policymakers, researchers, students, and the general public to the official launch of the 23rd Tanzania Human Rights Report (2024).
The event will be held on Monday, 5th May 2025, from 9:00 AM to 11:00 AM and will be streamed live via @HakiTV_ YouTube channel.
This year’s report is titled “The Resurgence of Unknown Assailants.” It offers an in-depth assessment of the human rights landscape in Tanzania Mainland and Zanzibar throughout 2024, with special attention to:
The alarming comeback of attacks and threats perpetrated by unidentified individuals ("watu wasiojulikana"), press freedom, civic space suppression, cases of arbitrary arrest, intimidation of human rights defenders, and political opposition.
LHRC has made it easier for all Tanzanians and international partners to attend, regardless of location.
This year’s launch will be entirely virtual and streamed live on Haki TV, enabling nationwide participation from the comfort of your home or office.
Why Attend?
Be the first to access verified insights and human rights data from 2024, hear from legal experts, researchers, and civic leaders, use the findings to inform advocacy, journalism, policy work, and research, and engage with LHRC on key recommendations to government and civil society.
🔗 Stay tuned. Be informed. Be involved.
#LHRCReportLaunch2025 #HumanRightsTZ #THRR2024 #TanzaniaHumanRights #
Popote ulipo @Roma_Mkatoliki unakubaalika saana yaani hapa ni mkoani Morogoro wilaya Kilombero halmashauri ya Mlimba Kijiji cha Lukolongo ona vibe lako, ukirudi TZ jitahidi uje na stamina #MillardAyoUPDATES@millardayo
@RashidiHam52248@millardayo Hapo hakuna mchanganyiko unaousema wewe ukitaka kujua ule upinde angalia rangi za app kwenye sim yako kama google, play store,nk nk
@jasper_joram@kabigwa_78 Ndugu yangu acha matusi kumbuka hajakulazimisha kuchukuwa hatua bali ametoa elimu bure halafu unamtukana tusi kubwa hivyo daah vijana badilikeni
(✍🏿 na mchambuzi wetu)
CHADEMA SIYO CHAMA CHA KISIASA TENA NI KIKUNDI CHA WANAHARAKATI NA MAGAIDI
Tulisema muda mrefu sana kuwa wanaharakati wa Tanzania wakiongozwa na yule mama aliyekimbilia Nairobi Kenya na kufanya harakati zake za uongo na kweli huko Maria Sarungi.
Mbowe alifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuthibiti wanahatakati hawa kutoingilia mambo ya chama chao na kugeuza jukwaa la harakati kwa kuwa ana mafundisho kwa kile kilichotokea kule TLS walipomchangua mwehu Lissu aka Chiba kuwa Rais wa TLS. Kila mmoja anajua njia waliyopita TLS na nini yalikuwa matokeo yake.
Leo hii ndani ya CHADEMA viongozi wa kanda na wilayani wanalalamika na kutaka kujua Maria Sarungi ana nafasi gani ndani ya CHADEMA maana ameagiza na kuomba apewe majina ya watu wote wanaotaka kugombea ubunge kupitia chama chao cha UFIPA.
CHADEMA leo mnaulizana huyu ana cheo gani? Kwani tulipokuwa tunawaambia chama kinatekwa na wanaharakati mlikuwa hamuelewi au mlikuwa mmelala usingizi?
Tuliwaambia hamkusikia.. Sasa endeleeni kuwafuata na kuwasikiliza wanaharakati halafu muone njia mnakwenda kupita maana wenzenu CUF na NCCR walipita njia hii
#KigogoMediaUpdates