@Skinny36479503@assengajrr Kaka matangazo wanapata lakini price imeshuka sana zamani tangazo la dakika moja au sekunde kadhaa makampuni yalikuwa yanalipa hela nyingi sana sasa hivi nguvu imehamia mtandaoni
@Mgagagigikoko9@George_Ambangil Mnaagiza kwa watu wasioleweka ndio maana mnafanyiwa michezo,gari ya kuagiza ni safe zaidi kuliko showroom kwa sababu showroom gari zinatembelewa sana bila kuwekwa plate number na wakikata kukuuzia wanashusha kilometer wewe unaona kilometer chache
@PharmSollomat@EduTalkTz Vipi Yuda aliyekuwa pamoja na Yesu kisha akamuuza kwa vipande 30 hii inamaanisha Wakristo wote au wanafaunzi wote wa Yesu ni wasaliti? Tumia akili usikurupuke
@CoolestDudeOnX@Sativa255 Tuko matopeni sana tunaona aibu hata kuvaa kanzu daah maana ukivaa kanzu na barakashia unaona wanaokuangalia kama wanasema kwenye lile bichwa hamna kituππππ
@thisistemidayo@KennedyMmari Watu wengi wanashindwa kuelewa SHETANI sio kiumbe SHETANI ni sifa so akisema shetani mmoja amepuyanga mfano bwana Yesu alimwambia Petro rudi nyuma yangu shetani we kwa maana huyawazi ya Mungu bali ya wanadamu so shetani ni sifa anapewa kiumbe yoyote aliyeasi maamrisho ya MUNGU
@ndembo255 Labda kama umeamua kujifanya huelewi tu lakini wanaojinasibu kuwa ni viongozi wetu wa kiislam hasa kutoka katika lile baraza huwa wanaongea vitu kiuhalisia vinafanya waonekane hawana elimu na sio elimu Dunia tu hata elimu ya Dini yenyewe hawana
@MassaweZai20275@HNyerembe@PolycarpMDM Sema elimu ya nchini kwenu sio elimu zote zinafundisha binadamu alikuwa nyani na kwa kutambua umuhimu wa elimu mbali mbali ndio maana maswahaba wakaambiwa waifate elimu mbali maana yake kuna elimu eneo walilopo haipatikani Uislam ndo umekamilika sio ELIMU imekamilika usichanganye
@HNyerembe@MassaweZai20275@PolycarpMDM Kakurupuka kujibu huyo Mtume aliwaamrisha maswahaba zake watafute elimu ikiwa hata umbali wa maka na china kwani Muhammad hakujua kama Elimu imekamilika?
@MassaweZai20275@HNyerembe@PolycarpMDM Mtume Muhammad hakujua kama elimu ya kiislam imekamilika mpaka akasema watu watafute elimu ikiwa hata umbali wa kutoka maka mpaka china?
@ProLearner77@fadhilikangusi Kasome kwanza chanzo cha kuanzishwa bakwata? Pili ulishawai kusikia mauaji ya msikitini mwembe chai? Unajua kwa nini watu waliuliwa? Unamjua shekhe Ponda Issa Ponda? Mfatilie na harakati zake unadhani ni rahisi tu kuamka na kuanzisha taasisi nyingine?
@2712father@Jambotv_ Futa kauli uislam hauna watu wajinga hao ni njaa zao hata ukiangalia taasisi zao zimeundwa na gavoo sio waumini so ni matawi yao na hii propaganda ya Udini haijaanza leo umesahau tuliambiwa CUF chama cha waislam? Wakaja na Chadema cha Wakristo na watu wa kaskazini? Hii michezo tu
@thisistemidayo@Gisiggo Unaniangusha kaka Yesu si alikuja tu kukamilisha jambo ambalo lilishaanza tangu zamani ndio maana yeye mwenyewe alisema hakuja kutengua torati maana yake alikuja kuendeleza so hata raia wa nyuma yake kama walifata misingi ambayo Yesu alikuja kuifata na kuindeleza wapo safe