@Iam_Malunguja Hivyo vyuo viligawanywa kikoloni na wazungu udsm walipewa sheria nairobi uni walipewa engineering na makaerere walipewa afya, ndo maana kiuhandisi wakenya ni wanyama, Uganda madaktari na bongo wanasheria na hata notable Kenyans lawyer wamesoma bongo