@BwaloniTz@HildaNewton21@JumaAbdukarim@BrendaRupia@IamLyenda Huyu John Marwa tumpe ushirikiano tu Wala kununua acc hakuna mahali ametenda kosa ni vile tu waafrica wengi hatupendi maendeleo ya wengine yaani chadema mtu wa IT COMPUTER ALITAKIWA KUWA MWAJIRIWA SIYO MWANASIASA NA YEYE NDO ADMIN MKUU NA KUSIMAMIA PASSWORD🙌
@banda_lele@HildaNewton21 Great points watu wenye uelewa mkubwa ni wewe kununua ac na kutangaza hakuna mahusiano yeyote waliosaliti cdm ni viongoz wake wenyewe business as usual 🙌
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amepiga kura leo Oktoba 29,2025 Mbweni jijini Dar es salaam.
IGP Wambura amewasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba na kwamba hali ya usalama ni shwari hakuna tishio lolote la uvunjifu wa amani.
@kiwirachief@CAF_Online Engineering linapokuja swalA yanga anakuwa hana tofauti na kama akina @frankyanga @daudiyanga unazidiwa akili na Mzee magoma ndg yangu Bora ungeacha ushabiki kuliko kujibu ushuzi kama huo caf inamashindano yake ambayo ni champion 🏆 na confederationcup sasa unataka Nini🤣
Tarehe 28 August 2025, chama tawala, CCM kilizindua kampeni zake za uchaguzi mkuu wa urais na wabunge katika viwanja vya Tanganyika packers
CCM walilazimika kutumia jukwaa hilo la uzinduzi wa kampeni kujibu mashambulizi kutoka kwa mwanachama wake mwandamizi Humphrey Polepole
KWANINI MAPAPA HUBADILI MAJINA YAO: SIRI NYUMA YA JINA LA KIPAPA
Uchaguzi wa jina la Kipapa ni desturi yenye uzito wa kiroho na kihistoria ndani ya Kanisa Katoliki. Ingawa katika karne za mwanzo Mapapa walitumia majina yao ya ubatizo, utaratibu huo ulianza kubadilika na kuwa nafasi ya kila Papa mpya kuchagua jina linaloonyesha dhamira yake, msukumo wake wa kiroho, au urithi anaotaka kuendeleza.
THREAD 🧵
Ni kweli kwamba slogan ya #NoRefomNoElection imekosa mashiko baada ya CHADEMA kutotia saini sheria ya maadili ya uchaguzi?
Pia ni kweli kwamba CHADEMA imekosa sifa za kushiriki uchaguzi kwa kutotia saini maadili ya uchaguzi?
Nipo hapa kujibu neno kwa neno!
JINSI YA KUCHEZEA KISIMI CHA MWANAMKE KWA USTADI MPAKA AFIKE KILELENI HARAKA.
Katika mahusiano ya kimapenzi, kujua jinsi ya kumridhisha mpenzi wako ni jambo muhimu sana. Moja ya maeneo yenye hisia kubwa kwa mwanamke ni kisimi (kinembe), ambacho kina mishipa mingi ya fahamu inayoweza kusababisha raha ya hali ya juu.
Katika makala hii, utajifunza jinsi ya kuchezea kisimi kwa ustadi bila kutumia nguvu nyingi, huku ukimfanya mwenza wako kufurahia tendo la ndoa na kufika kileleni kwa haraka.👇🏽
Endelea Na Uzi🧵
@KumbushoDawson@Josephmaro8@freemanmbowetz Huyo mfadhili wake wazee miaka 21 office imejengwa mwaka Jana hakuna Cha kumkumbuka miaka yote yeye mtu wa Dili ruzuku yote amejengea biashara yake na kuwa na machawa wengi wasiopenda kupigania haki Hela zote za kipindi Cha 2015-2020 ziko wapi hadi mjenge office 2023 @KumbushoDaw
Kwa wale mlitaka kujua maoni yangu kuhusu issue ya Trump kusitisha misaada ya dawa za ukimwi na malaria na kadhalika….. Najua hamkutegemea niwe na maoni haya ila huu ndio ukweli mchungu
@SuluhuSamia
‼️TAFAKURI‼️
ELIMU, UFAHAMU NA MAADILI NDO MALI SIO PESA
Jamii yetu leo imejielekeza kuthamini pesa na mali kama nyumba, gari na mengineyo. Ndiyo maana ukiongelea #KatibaMpya mijitu ya CCM inasema " Katiba Mpya haitakuletea ugali mezani" 🙄Poor reasoning! Hawawazi afya ya akili, haki na demorasia, wao ni kuhonga tu, kununua maV8 na kuiba pesa - wakihisi utawavurugia wanaweza kukuua bila kusita! Maskini wa roho!
@TunduALissu amewekeza na anathamini zaidi elimu yake - ametoka familia isiyo tajiri Singida, ila leo ana uwezo wa kuongea Kiingereza fasaha kuliko waliosoma international school 😂 na ana uwezo na ufahamu kuhusu historia, falsafa ya dunia kama Oxford graduate - siku yoyote akiamua kuwa lecturer Harvard anaweza kupewa hiyo kazi.
Hana mali ya kutisha na haogopi kusema - pesa si alfa na omega kwake 😁- of course nobody minds having it. Lakini kuna kitu aliwahi kueleza kuwa pesa siyo priority bali IDEAS
Leo Tundu Lissu anaogopwa maana ana misimamo thabit, hanunuliki maana hana tamaa, wala hatishwi alishachungulia kaburi na Mungu kamwambia "bado nina kazi na wewe" - and he is here to complete his mission!
Tuwekeze kwenye elimu yetu na ya watoto wetu, tuthamini ufahamu, ujuzi na siyo mali na pesa - tutaweza kutimiza malengo kama Taifa!
#ChangeTanzania #TutaelewanaTu
Kuna Namna unaweza ukawa sehemu ukasahau simu bahati mbaya na ghafla ukarudi ukaikosa na ukipiga haipatikani
Fanya hivi mda huo huo kuipata bila kumlipa Mtu au Taasisi ....
Thread 🧵
Repost 🔄
Bookmark 🔖
Follow @techygaspar
Shuka nayo 👇🏾