Top Tweets for #NoRefomNoElection
@ikulumawasliano #NorefomNoelection
Maisha uandaayo kwa Sasa ndio maisha yatakuja umiza team Yako ya Sasa tambua walio kula Bata enzi za kikwete walipata msoto,kwa JPM,Leo wanao kula msoto ni watto wa JPM na Sheria zao zinawahukumu chukua hatua

@MariaSTsehai π°ππππππ’π πππππππππππππ πππππ ππππ πππππ ππππππ ππππππ π πππππππππππππ£ππ π πππ’ππ π ππππππππ ππ πππππππ π’ππ ππππ ππππ ππππππ ππππ πππππππ #NoRefomNoElection
Kinacho fanyika kwa m/kiti wa chadema mh @TunduALissu ni uhuni ambayo haifai tena kunyamaziwa, we get do something.
#NoRefomNoElection
@lifeofmshaba Utaratibu wetu niule ule jamn please mwenye majina na namba za hao maaskari tunaomba tuwasalimie.....
#NoRefomNoElection
#NorefomsNoelection
#NorefomsNoelection
Wananchi wanasema #NoRefomNoElection wakimaanisha bila mabadiliko ya Katiba,Sheria na Kanuni za uchaguzi ili kuwezesha uchaguzi huru na wa haki nchi ipate viongozi bora,hakuna sababu kutumia mabilioni ya kodi za wananchi kufanya uchaguzi feki.Mkapa anakazia
@ChademaX Tukiwaambia TUSHIRIKIANE kuhakikisha REFORM Inapatika wanakaza fuvu wanaenda kuchukua form za uchaguzi.
#norefomnoelection
@IAMartin_ Eneweeeii tuchangie Damu baada ya hapo tujae Kwenye Mikutano tuchangie tone tone #Mchango ππ #NorefomNoelection
Musoma Mjjni wamesema
#NoRefomNoElection

Tanzania Need to opt for change, the change in political system is vital. Only way we can attain it is to stay Stronger and support the ongoing campaign #NoRefomNoElection while doing this we not suppossed to forgert how we can facilitate CDM Operation Through #ToneTone Campaign
##2025lissuforpresident this is ultimate God's Plan
πππππ ππππππππ πππππππππ ππ
ππππππ ππππππππ ππ
ππππππππ
Shangazi @MariaSTsehai mh.mwenyekiti wa wenyeviti wote nchini kasema mapambano yaendelee sisi niwakina nani tupinge #norefomnoelection #FreeTunduLissuNow
The humble one, he is not supposed to be jailed, be safe our chairman, I and others will never turning back, this is the way to freedom as you told, be courageous , we are fighting and praying for you. #FreeTunduLissu ,#NoReformsNoElection

@Sativa255 repost hapa kwa kumwambia Afande Muliro Mahakamani Watz wataenda na hakuna kitu atafanya
#FreeTunduLissuNow
#Lissusiomuhaini
#NoRefomNoElection

@godbless_lema Ilii tusirekodii uozooo waoo kwanza hatushirikii##wacheze ngoma zao wenyewe..#NoRefomNoElection
@HecheJohn Hata wakikukamata wakakufunga,siai tutalihubili hili meno la #NoRefomNoElection mpaka kwa wajukuu zetu na mwisho wa siku kitaeleweka tu
@Jambotv_ Hizi ni Kanuni KANDAMIZI. Zinalenga kuficha maovu yatakayotendeka katika vituo vya kupigia kura. Kama Uchaguzi ni Huru na wa Haki kwa nini wanaogopa simu??
Chadema wako SAHIHI sana kukataa kusaini UOZO wa namna hii. Sioni umuhimu wa kwenda kupiga kura.
#NoRefomNoElection
@EmmausAskofu Je kama wamempeleka ikulu kuna haja gani ya kuficha??je kama wamemuhamisha gereza Kwann wafanye siri au kuna ajenda zao za siri #NoRefomNoElection #Tutakuwepo π«΅πΏπ«΅πΏ

@masoudkipanya @ACTwazalendo (Maji ya Rangi ya Zambarau) Yanaenda Kustawisha zaidi @ccm_tanzania(Majani na Miti ya Kijani hapo pichani). Cha ajabu maji haya Hayastawishi yalikotoka(Yaani Upinzani haswa Chadema) bali yanaenda kuungana na CCM kuwa kitu kimoja.
But still we say
#NoRefomNoElection
@MariaSTsehai @HecheJohn Kabisa tutakwenda, labda atuzuie siku ya kesi ya Makalla ndiyo hatutakwendaπ
#NoRefomNoElection
Last Seen Hashtags on Sotwe
brosis()******** filter:videos
Seen from Brazil
schoolthots
Seen from United States
incesto mother & son
Seen from Colombia
minichat
Seen from Brazil
anxiouspanda
Seen from United Kingdom
bottomkook #jungkooknsfw
Seen from United States
aiη·ε
Seen from Japan
minichat()************filter:native_video
Seen from Turkey
tnwo
Seen from Brazil
sutro
Seen from Chile
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.9M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.6M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers




















