Unatakia 'FUNGI' wasiharibu Kuta na Rangi za nyumba yako?
ZINGATIA mambo yafuatayo;
✓ Weka 'waterproofing membrane'
✓ Tanguliza 'primer' kabla ya rangi
✓ Nyumba iezekwe vizuri
✓ Usimpe kazi fundi "maiko" 🤣🤣🤣
✓ Mara kwa mara madirisha yawe wazi
#TukipakaTumepaka
Wakristo wengi wanasema bila kuwa mfuasi wa Yesu Kristo mbinguni huingii
Waislamu pia wanasema bila kuwa mfuasi wa Muhammad SAW mbinguni huingii.
Umewahi kujiuliza vipi kuhusu wale ambao mpaka wanakufa hawakuwahi kusikia jina Yesu wala Muhammad?
Mbinguni hawataingia wakristo wala waislamu, wataingia watu waliokiri, wakaomba msamaha na wakaacha kutenda dhambi.
Hakuna mtu aliyewahi kuishi duniani asijue dhambi, hata kama hakuwahi kumsikia Yesu Kristo wala Muhammad SAW.
Hivyo kabla hujajivunia Ukristo/Uislamu wako, Jiulize, Je umeacha kutenda dhambi?
Kuwa mkristo/muislam hakutakusaidia chochote kama hujaacha maovu unayotenda kila kukicha.
Kabla hujasimama kujivunia na kupigania dini yako hakikisha umeacha;
• Uzinzi, Uasherati na Punyeto
• Uongo, Ulaghai, Uzushi na Usengenyaji
• Wizi, Dhuluma, Rushwa na Ufisadi
• Uchawi, Ushirikina na Umizimu
• Kamari na maovu mengine yote unayoyajua.
Vinginevyo, Si Yesu Kristo wala Muhammad SAW atakaekutoa JEHANAM siku ile, wote watakukana na utalia na kusaga meno.
#Ishi

@zou_berry@millardayo Haina faida yoyote kwenye mwili wa binadamu, ni luxury inayoharibu afya tu.
Na mchango wake kwenye uchumi ni mdogo, Unaweza kufidiwa hata na choroko.
@davybarn@millardayo Haina faida yoyote kwenye mwili wa binadamu, ni luxury inayoharibu afya tu.
Pia mchango wake kwenye uchumi ni mdogo, unaweza kufidiwa hata na choroko.