Ukimwaga ndani bahati mbaya..
White girls:omg doctor George can handle this
African girls: sasa umefurahia umeniharibia maisha
ππππππ
Anacho sema Waziri Jaffo ni sawa na Mke wako akufumanie una chepuka, halafu ana kuuliza unafanya nini?wewe una mjibu hata hivyo nimevaa kondomu Mke wangu..kuvaa kondomu haindoi dhambi ya uzinzi kama ambavyo kurudisha wagombea haibadili dhamira mbaya ya Serikali ktk huu Uchaguzi.
Kazi ya uandishi wa hotuba za viongozi inakufunza kukubali kazi (draft) yako ikionekana takataka na pia kutotamba pale ikionekana mahiri. Hii ni sehemu ya kipindi cha @CloudsMediaLive ambacho tulirekodi lakini hatukukirusha kwasababu kilipitwa na matukio π
RAIS analalamika (watendaji hawamuelewi)
IGP analalamika (kuna unafiki jeshi la polisi)
Waziri mkuu analalamika (kuna ufisadi halmashauri)
Jaji Mkuu analalamika (watuhumiwa kukaa mahabusu)
Spika, mawaziri, wabunge wanalalamika!
Sisi WANANCHI tunapaswa kufanya nini haswa?
Nchi inaweza ingia kwenye machafuko muda wowote ! Any move ya kumkamata Mama Samia will spark fire! Meko watch out as you will bring this country into holocaust nakuambia! Sirudii tena kusema . Iam done
Inaelezwa kuwa nyota wa mbio za magari za dunia kwa mara 7 Michael Schumacher amezinduka baada ya kupoteza fahamu kwa miaka 6. Schumacher alipoteza fahamu alipopata ajali mwaka 2013 na kulazwa hospitalini akiwa hajitambui (coma) toka wakati huo. π‘ Le Parisien π· Laszlo Balogh
Nimetoka kumuona Baba Askofu narudi nyumba moyo wangu unavuja damu sana! Katika makosa mmeyafanya Kanisa Katoliki ni kuruhusu Baba Askofu Ruwaichi kwenda kutibiwa Muhimbili.. Baba sikia maombi yangu na usinipitishe kwenye jaribu hili sitaweza kulibeba! πππ