@PrecisionAirTz kwa kizungu ndio zinaitwa uplift force au zile 4 roles za air kupaa na wakat wa kushuka an drag, gravity uplift na thrust kama force of fright
@kigogo2014 oyaa nlikua nakuona mjanjaa kumbe fala tu unapo post kuhus @diamondplatnumz gali lake jalibu kutoa beauty ya hiyo picha yani picha unaweka beauty tyle alafu unasema used ufala mwingi sana lafiki yangu wewe enderea na serikali akini kwa maendereo ya mtu mmoja mmja
@CloudsMediaLive Hahaha milllad cr wetu leo kaanza na movie laleq tutajua @millardayo@CloudsMediaLive saww redio tunawasikilizaa ila cr piga kaz tukachukue hata nguo sasa kule scul mana ni piii za kubadilisha ebu tuombee ombee kimtindo kwa mheshimiwa
@zittokabwe Katika vitu vyote usemavyo ila hauna mtoto anae soma ndio mana wasema hivyo tambua hakuna mzaz ambaye yu tyali mpoteza mwanae kisa janga linalo julikana kidunia mzee wang acha siasa iitwe sias na acha magonjwa yaitwe magonjwa saaad sana kiongoz nlie kua nafatilia spch leo wsm hv
Serikali ambayo inatumia Shs 1.5 Trilioni kununua ndege kwa CASH inalia lia Wananchi wake wanapohoji mikopo wanayochukua kwa ajili ya Elimu kutoka Benki ya Dunia. Fedha za Ndege wanazo Lakini za Elimu ya Watoto wetu wanakwenda kukopa. Heshimuni Demokrasia