@Sativa255 Wakati huyo jamaa anakwidwa hivyo @HecheJohn alikuwa shule na ww sijui kama ulishazaliwa huko Ileje na kupitia juhudi za huyo na wenzake ndio chadema ikafikia hapa ilipo leo maana chadema haikujengwa kupitia clubhouse au Space ya shangazi maria
@Sativa255 Ndio vizuri sasa fanyeni siasa za lissu &heche siasa za nginja nginja na kupeleka moto za kuikombo nchi kwa kutumia matusi na uongo hizo za mbowe zimeshapita although mmekuwa wagumu kumove on mbowe alijemga chama hadi mkavutiwa nacho sasa nendeni mkakomboe nchi
@shagari03@TouchlineX In spain they are taking fc barcelona as foreign club all those public figures,politians,media houses (except catalans) when fcb loose is a joy to them !
@IAMartin_@mackphason Pope Jonh Paulo alimsamehe Mohamed Algçar mturuki aliyefanya jaribio la kutaka kumuua kwa mshambulia kwa risasi msamaha ni wa mungu kuweka grudges ni udhaifu
@Babadancila@Baradhuli2@swahilitimes ..,hakuna kitu kama icho cctv camera ni mali yako unaweza kufunga popote kwenye himaya yako excect chooni au chumbani kama ni hotel au public place hizo mambo za usajili ndio nazisikia leo
@Baradhuli2@swahilitimes Sijui kuhusu israel but hii ya england &Spain kuna usajili wa cctv camera umetoa wapi hii ! Uvccm au? Acheni kuuza ujinga mitandaoni
@VungaEl74 Na kwa ujinga wako umeamini yule Netanyahu anayekunywa kahawa isiyoisha wala kumwagika,ambaye last week alikuwa na makunyazi usoni but jana amerudi ujana wa Gen z na huku cashier receipt inasoma 2024!
@lwaitama1@cycleclement Bado umelala ukiota tu! Amka achana na ndoto za Maria utajisaidia kitandani Iran unayoisikia au kuisoma kwenye Western media ni tofauti kwa labda 80% na ile ya kweli kule hakuna fala wa kuuziwa demokrasia na wazungu patrotism ndio kila kitu
@OffsidefootyF1@BarcaUniversal Laat week journalist asked him in order barca to eliminate Atl Madrid how many goal barca have to score he answered 5-2! And before that they asked him to mention atleast 5 players of women team he couldnt mention even one!!
@DamiLee08112377@kikomasta Always uwa nikiona kiumbe ambaye sio jews especially mtu anashabikia kabisa matendo ya israel duniani nabaki kumuombwa mungu tu
@mangekimambi Dada wa taifa hapo umevaa mkenge hiyo ni sikukuu ya shia isnasheer wakati wa kumbuka nabii Hussein ndio uwa wanajipiga na kuimba ( Hussein!) Ilo ndio tango pori pia kuwa makini na huyo Nawfal ni cheap propagandist