@SimbaSCTanzania Timu bdo ipo chini yule ahoua anapewaa sifa mpk anajiamulia chakufa uwanjn hatunzi Mali hakai kwenye namba yke yaaan Ni vurugu na mnasema mnachinja lbda uchinjaji wa tabu au wabahati tafuten winga hatar dirisha dg atayesaidiana na mpanzu na namba 10 mzuri ASANTENI @ahmed__ally
@FKihamu Mm naona mbappe na jamaa wetu ahoua yule wa Simba wanatabia moja ahoua Ni mchezaji mzuri ila hakabi haonekani uwanjn ataonekana mpka apewe Mali tena amekua anajifichaa sanaa kiufupi hajachangamkaa hata kidg
@mshambuliaji Mnadeal na makosa yajinai cyo kesi ya binti yule kubakwaa mlifikia wapi? Kifo cha mzee kibao upelelezi ndo umeshaisha? Kumchukua bonyai vile ni ustaarabu wa wapi kwann msitume wito yule ni mtu anafahamika asingekataa kujA. KAZENI SANA
@albertelia67@fumbokhanJr Anachoongeaa jamaa sahihi space kipindi cha Kwanza ilikua kubwaa sana mpka jamaa wakianzisha safari inakua rahusi kwa wao kupiga pasi tatu mpka nne kufika golini kwetu