Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekutana na Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (@dsetanzania ), Bw. @peternalitolela, Februari 13, 2026 jijini Dodoma.
Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amesisitiza ubunifu na juhudi zaidi katika kuvutia uwekezaji, huku DSE ikiendelea kushirikiana na Serikali kuhamasisha upatikanaji wa mitaji kwa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.
Kwa sasa, DSE ina thamani ya soko la takribani Shilingi trilioni 31.9 na wawekezaji zaidi ya 779,000, ikiendelea kuwa jukwaa rasmi na la kimkakati la kukuza uchumi wa Taifa.
#DSE #DIRA2050 #FursaKwaWote
On #InternationalDayofEducation, we’re celebrating youth shaping education, especially Educate!’s Youth Mentors. In Uganda, our core experience is delivered directly in secondary schools by Youth Mentors. Hear what students say makes a great mentor.
UTEKAJI vs HAKI YA KUJILINDA
Mabadiliko ya Sheria Na. 4 ya 1980 yaliongeza vifungu vya 18 - 18C vya Kanuni ya Adhabu (PENAL CODE). Kwenye sheria hii, Bunge limesisitiza kwamba, mtu hawezi kuwajibika KIJINAI endapo atatumia nguvu ya KUJILINDA yeye mwenyewe au KUMLINDA mtu mwingine, kama jirani, ndugu, rafiki au raia yeyote. Sheria hii pia, inamlinda raia anapotetea mali iliyo chini ya himaya yake.
Sheria hii imeweka MSIMAMO kwamba, endapo kuna mtu anataka kukuvamia, na wewe mshughulikie kisawasawa ili KUJILINDA. Endapo kuna mtu anatumia matumizi yoyote yale ya NGUVU dhidi yako KINYUME cha sheria (mfano wa hawa WATEKAJI), wewe lala nae mbele - tumia nguvu hiyo hiyo kujihami.
Tafsiri ya UTEKAJI ni matumizi ya NGUVU KINYUME CHA SHERIA. Mtekaji ni mtu anayetenda JINAI hivyo anapaswa KUDHIBITIWA. Sheria inaendelea kusema, ukiona mtu/watu wanataka KUKUTEKA, tumia nguvu zote KUWADHIBITI ili KUJIHAMI. Lakini pia, sheria imetoa JUKUMU la KULINDANA sisi kama wana Jamii. Ukiona ndugu, jamaa au jirani yako anatekwa (anachukuliwa kwa nguvu na hawa wanaojitambulisha kama askari polisi), nenda kasaidie na hakikisha WATEKAJI wanadhibitiwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria ikibidi.
Hata kama ni ASKARI MWENYE SARE, haruhusiwi kisheria kutumia nguvu sisizo HALALI. Pale ambapo askari polisi anakiuka UTARATIBU wa ukamataji uliowekwa kisheria, hapo hapo anapoteza MAMLAKA yake ya kipolisi & anageuka kuwa MTEKAJI kama watekaji wengine tu. Anatenda jinai. Sheria inakuruhusu kumshughulikia ipasavyo. Ndio, IPASAVYO.
Hivyo, ukiona watu wanajitambulisha kuwa ni askari, na wanafanya UKAMATAJI, hakikisha wanafuata sheria, wasipofuata sheria, tumia haki ya kujilinda ili kuwazuia maana wanachokifanya sio UKAMATAJI bali ni UTEKAJI. Piga MAWE ikibidi. Kama wako wengi, piga yowe ili kupata msaada wa majirani. Ita MWIZI/WEZI ikibidi mpaka waogope.
Kisheria, hakuna mahakama yoyote nchini itakukuta na hatia kwa kosa la jinai kwa kutumia nguvu ile ile wanayotumia hawa WAHALIFU ili ujihami. Narudia tena, haki ya kujihami wewe binafsi au jirani yako, sio OMBI bali ni WAJIBU umepewa na sheria iliyotungwa na Bunge.
Ujumbe huu usambazwe na ufike mbali ili kuokoa maisha.
#BabaMwita ⚖️
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi amechukuwa fomu ya Kugombea Ubunge, kimsingi hapa hakuna kosa lolote. Ni kama Refa akiamua kuwa Mchezaji wa timu moja wapo.
KANISA KATOLIKI limesema.
Likisema KANISA KATOLIKI HILO NI AGIZO SIO OMBI.
Sasa shupazeni SHINGO wakina MURILO na hao wanao watuma.
Kama unasali KATOLIKI ongeza SADAKA.
REPOST 400🔥🔥🔥🚨🚨🚨
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
#TajiriLaKihaya
Kwenye ile Speech ya Waziri Mkuu kuhusu wenye Degree kurudi kusomea Ufundi VETA…
nmegundua yafuatayo:
1. Serikali inakiri wameshindwa kutatua swala la Ajira nchini…
2. Serikali imekiri Elimu yetu ya Vyuo Vikuu ipo chini ya kiwango… haiwezi ikajitegemea….
3. Serikali imesahau au wanajitoa ufaham maksudi kuhusu Umuhimu wa VOCATIONAL EDUCATION;
Kwa mtazamo wangu na hata Kwa kuangalia nchi jirani zinavyofanya- hizi ni Taasisi ziliwekwa kuwasaidia HASA vijana waliokuwa hawajiwezi saana darasani- mathalan kafeli mtihan wa Form 4 Nk.
Atleast to give them Fani moja ya kufanya na kuweza kujiajiri au hata kuajiriwa…
Sasa ukitaka tena watu wamalize Degree warudi tena VETA- una create unnecessary competition- Hakuna tofauti na wachina kuuza nguo kariakoo…
My advise:
Boresheni Elimu ya Vyuo vikuu- ili mtu akitoka awe na both theory and practical aspect of the course…
kwa mfano kenya saa hizi…
Kila Degree lazima usome with IT- hata uwalimu lazima upige na IT…
Sio unatoka kumaliza degree tena unarudi kujifunza Computer Kwa mtu alieishia form 4😅
We can also introduce with DRIVING- nakadhalika…
Itaendelea…
We nini maoni yako kuhusu hili???
Ningekuwa katika nafasi ya kuwashauri @Neto_Tanzania , ningewaambia wakomae na kitu kimoja. Kuna ajira za aina mbili wanazozidai;
1. Kuna ajira zaidi ya 150,000 zilizozuiwa kati ya mwaka 2015-2023.
2. Kuna ajira za jumla za WALIMU ambao wanazalishwa kwa info vyuoni.
Ukienda kwa mtawala kumdai ajira kwa ujumla, atakujengea hoja kwamba “serikali haiwezi kuajiri watu wote.”
Lakini ukimhoji mtawala kuhusu zile ajira zaidi ya 150,000 alizopaswa kutoa kipindi anapambana na wafanyakazi hewa, hapo unaweza kumnyima sababu.
Long short: Ningewashauri pia wakati huu wajikite zaidi katika kumobilize nguvu, na ikiwezekana wafikie hatua ya kuwa na National Unemployment Workers’ Movement.
Ukiwa na Union ya aina hii yenye idadi kubwa ya watu ambao ni wapiga kura, itatusaidia kupata tool yenye nguvu sana nje ya vyama vya siasa.