@Royal_Tv_Tz Sawa kwa hiyo wizara yako imewashikilia watejaji wangapi mpaka sasa? Matukio yamejua ni mengi sana. Hata wakitekana ndugu kwa ndugu utekaji utabaki kuwa ni utekaji tu. Hali ni mbaya kwenye swala la utekaji
@Britanicca0@JamiiForums Kama upo hai pole kwa unayo pitia. Kama umekufa RIP. Ila wewe ulikua ni mzalendo na ulikua mbele ya muda. Bado ulikua na mchango mkubwa sana kwenye chama
@earadiofm Mtu anaweza akawa hati original ila kaipata ki magumashi kwasababu watu wengi wenye viwanja hawana hati miliki ya viwanja hivyo isipo kuwa karatasi za mauziano